Chunguza uniambie: Sura za watu wakiwa wanaongea na mobile phones

hahahahha nimechekaaaaaaaaaaaa dah mdada mapoz A akilonga sio?

NITA PROPOSE TCRA WAWEKE SHERIA ZA MIKAO WAKAT WA KUONGEA NA CM
UKIJISHAUA SHAUA,KUONGEA KILUGHA,SAUTI KUBWA BASI SIMU YAKO IKATIKE GHAFLA.
NAWASILISHA KWA FURAHA.
we acha tu.... burudani sasa awe anaibiwa mtu'
 
Hiyo ndiyo kero kabisa mana mtu unaweza kupata magonjwa, nikiona hivyo nageuza kisogo au kama nina gazeti nalifungua kama nasoma. halafu bado ringtone haijaamka mana kila mtu na mlio wake..kweli simu zina mambo!
btw, huyo mkaka kwa avatar yako nitamtafuta via mobile:)) mashalaah ni hilo TU!!

Ha ha ha lol!!! Ni PM nitakupa contacts zake
 
Dah I wish I could be there to discharge the full charge!!
back to the topic, Hivi mzee wa Memkwa, unakarisearch unafanya? maaana kila ulipo waangalia bin wa adamu na vituko vyao, BTW karibu huku kwedukwazu tule machungwa!
Tanga raha bana!

UNATUMIA BETR GAN...?yuasa?
 
yani kuna mmoja alifinya jicho halafu akawa kama anatamani jamaa amalize kuongea lakini wapi...... yani hiyo mikono ilikua kama karateka
alivyomaliza kuongea na asim ungemowmba namba na kumwambia ant unajua kuongea na sm..saa ingne ni katika kuvutia wateja like mi najua sana machejo try me u wl c...
 
teh te te te
Ni kweli lakin,i yaani utakuta mtu kama vile anaonwa na anayezungumza nae.

Mhh itabidi hat mie nijichunguze isije ikawa.
 
alivyomaliza kuongea na asim ungemowmba namba na kumwambia ant unajua kuongea na sm..saa ingne ni katika kuvutia wateja like mi najua sana machejo try me u wl c...
Aisee... I will try, definitely... lazima nianze kuomba namba kwa style hiyo

Sasa mbona hukusema tangu zamani?
 
Back
Top Bottom