Chungu ya mke wa mtu: Yalomkuta mwenzetu huzuni tupu!

nikuulize swali mkuu. Hivi ukimkuta keo analiwa denda au unamuona anatoka chumbani, say, guest na mwanaume unaweza ukasema hapo ametoka kusex au laah? maana huna uhakika kama kweli wamesex au laaah. unless uwakute wameng'ang'aniana ndo unaweza uka-prove beyond pasipo shaka. Kuna ushahidi wa mazingira au hata huo huuamini.

Huo sio ushahidi wa mazingara kisheria. Huwezi kusema for certainity kuwa mke wangu alikuwa anazini kwa kumkuta ana-kiss na mwanamume au wanatoka chumbani. Anything can happen when in the room. Mnaweza kwenda mle mwanamke ikamjia guility consiousness akaamua kugairi kuzini mkatoka!!!! Ukinishitaki kwa ugoni -having sex intercourse with your wife, clearly you will fail and I will sue you for defarmation/malicious prosecution etc etc.
 
Personally huwa nashangaaga mbona kuna mafree lance kibao mtaani inakuwaje unakula kichwa na mwenzio.
Ingefaa afe tuu bse huwezi kumega mke wa mwenzio and go unpunished

umeona eeeeee! watu huwa wanapenda wapate msamaha kwa makosa yao ili kesho warudie tene na tena. mi napenda sana principles za waarabu. Yaani unakuja nifanyia ubaya ukitegemea utatoka sala ili ukani-challnge before the court of law. hakuna hiyo, unaniibia nakukata hiyo nanii yako, ukafie mbele!
 
Huo sio ushahidi wa mazingara kisheria. Huwezi kusema for certainity kuwa mke wangu alikuwa anazini kwa kumkuta ana-kiss na mwanamume au wanatoka chumbani. Anything can happen when in the room. Mnaweza kwenda mle mwanamke ikamjia guility consiousness akaamua kugairi kuzini mkatoka!!!! Ukinishitaki kwa ugoni -having sex intercourse with your wife, clearly you will fail and I will sue you for defarmation/malicious prosecution etc etc.

kuondoa hizo uncertainties zote ndo maana watu huwa wanaamua kmalizana na mtu physically. so usitegemee ukajenga mazingira kama hayo utegemee mahakama, itakula kwako mkuu. Unakatwa kichwamengine yatajiseti yenyewe mahakamani ili mradi roho yako imeondoka duniani. huko mahakamani serikali itasimama on your behalf wakati wewe unaoza kwenye jeneza la dhahabu udongoni. Ogop kabisa kucheza na mali za watu kwa kutegemea mahakam. Si unajua yalomkuta Dr Kleruu!
 
Back
Top Bottom