Chunga sana hotel za kichina

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
WANATAYARISHA PANYA KUONEKANA KAMA NI KUKU KABISA, HATA KUKATAKATA, WANAKATA MFANO WA KUKU,

KUCHOMA, KUTOA NYWELE



WANAOSHWA VIZURI



WANAKATWA MFANO WA VIPANDE VYA KUKU



WANATIWA MADAWA VIZURI SANA



WANAKANGWA VIZURI KABISA


TAYARI KWA KULA ( KAMA KUKU KABISA)

 
Kama inapita shingoni wacha wale bana!
Kwanza Mwinyi alisema "Kula Panya Ruksa!
 
Hiyo rangi yake inaonyesha ni tamu mno,kwani mkuu kuna madhara mwilini endapo utakula au sababu wewe unawaona sana getho,fanya usafi wa getho uwapoteze,tawatamani
 
hahah mbona kwetu tunakula panya hatufi? Wanaotoka mtwara mnanisupport kwa hili labda mniruke.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom