Chunga mzigo wako

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,351
Baba: Unamjua Julius
Nyerere?
Mtoto: Hapana simjui.
Baba: Pumbavu sana kuwa
makini na masomo yako..
Mtoto: Haya. Na wewe baba
unamjua Hamisi Kibonyezeo?
Baba: Hapana Simjui.
Mtoto: Pumbavu sana, Kuwa
makini na Ndoa yako..
 
Mkuu Bulldog huwa unapita pita jukwaa la jokes?
Naona mabandiko yako mengi yamebandikwa tayari jukwaa la jokes
 
Last edited by a moderator:
Kuna misemo mingine hua valid fo a specific to the kind of persons!
Mf. Huu hautakua na maana kwa mtu kama Bakhresa, au lile zee la Oilcom (Munif) mizee yenye hela!
Saa ngp atakua na time ya eti anachunga mzigo?
 
Back
Top Bottom