Chumba self with tiles - morogoro town

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Nahitaji chumba kimoja self contained chenye tiles, ambacho kiko ndani ya gate mjini Morogoro,tafadhali kama huwezi sema hapa,basi nipigie 0765829257
 
kaka kupata chumba cha sifa hiyo sio rahisi sana, coz hapo lazima upate mtu aliechukua nyumba nzima alafu yy akupe master yake.

sijui labda endelea tu kutafuta ya mungu mengi.
 
Back
Top Bottom