chumba na sebule kinahitajika maeneo ya shekilango, kodi isizidi laki 1 na iwe miezi 6!

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
Natafuta chumba na sebule kwa ajili ya kupanga kiwe maeneo ya Shekilango au Ubungo stand ya mkoa, kiwe kina hali nzuri, kusiwe na muingiliano wa watu wengi, kuwe kuna usalama, kodi isizidi laki moja na iwe kwa miezi sita tu.

naomba mnipige tafu kwa hili wana JF wenzangu, please ni pm

Thank you in advance.
 
Ndio unaanza maisha? Kazi umepata kampuni gani?
 
Mhm kwa hiyo bei tena kodi ya miezi sita!sio rahisi kupata shekilango labd manzese uzuri au mabibo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom