Chumba kinapangishwa mbezi beach

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Kipo Mbezi Beach maeneo ya Tangi Bovu. Kipo upande wa kulia ukiwa unatokea Mwenge unaelekea Tegeta. Kipo ndani ya fence. Umeme na maji vinapatikana. Choo kipo kwa nje. Mazingira safi. Kodi 70,000 kwa mwezi. kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409 au email info@kitomai.com
 
Subiri waje wapangaji
 
chumba kimoja tu? choo kipo distance gani kutoka kwenye chumba?
 
Back
Top Bottom