chukua..chukua..chukua..yote yako

Pole ndugu, kumbe bado unamhitaji!!! Lakini kwa moyo au kwa ajili ya lundo la nguo chafu na menu? Ulimi bwana kakiungo kadogoooooooo matatizo lukuki. khaaaaa
 
Ulimfanyia dharau ukamtajia Dada wa JF hapa, sasa naona huyo Dada wa JF amekuwa sumu kwako umuonapo unammwagia kashfa

Acha hizo, sio ustaarabu

mkuu huyu dada wa jf aliyonifanyia ni siri yangu,yeye na invisible.sitamani hata kumuona.hata yeye anajua aliyoyafanya.hata ningekua nmemuona kwa kosa alilonifanyia ilikua nimpe taraka3 na masikio bila kutaka ushauri wa mtu.anantia kinyaa.we acha tu!.bora hata ya XG.mia
 
kama kumbukumbu yako inavutwa na wimbo tu basi usijali
utakuja pata wimbo mwengine soon. na si ajabu wimbo huo
ukaitwa "mla mla leo mla jana kala nini?" na kuanzia hapo utasahau
habari za "chukua yote yako" kwani haikuwa yako nasiajabu sasa hivi iko
kwa mwengine lol
 
Sasa si ufanye yawe siri hivyo hivyo tu? kama mmekoseana kwenye PM yamalizeni kiutu uzima huko huko, haina haja kuwapa wengine faida hasa kwa maneno ya kashfa.

You are better than that.
 
pole sana mkuu,hii inaonesha ulimpenda sana my x gelfrend wako,ndio ukubwa utampata my gelfrend mwengine. Nalog off

ni kwei lakini sijui ngoja nivute subira sema huyu husninyo ananiingilia sana mambo yangu binafsi.mnafiki sana huyu binti.mia
 
Pole ndugu, kumbe bado unamhitaji!!! Lakini kwa moyo au kwa ajili ya lundo la nguo chafu na menu? Ulimi bwana kakiungo kadogoooooooo matatizo lukuki. khaaaaa

hapana mkuu lakini nafikiri unafahamu kwamba kidole kimoja hakivunji chawa.ntarukaruka lakini mwisho wa siku ntakamatika tu.mia
 
kama kumbukumbu yako inavutwa na wimbo tu basi usijali
utakuja pata wimbo mwengine soon. na si ajabu wimbo huo
ukaitwa "mla mla leo mla jana kala nini?" na kuanzia hapo utasahau
habari za "chukua yote yako" kwani haikuwa yako nasiajabu sasa hivi iko
kwa mwengine lol

dah inawezekana kabisa mkuu.lakini ukimchunguza bata sana hutamla.hii ni sawa na vuta nikuvute.kama anavutwa sijui lakini mimi sijavuta yeyote badala yake.lakini ndo maisha mkuu.mia
 
Sasa si ufanye yawe siri hivyo hivyo tu? kama mmekoseana kwenye PM yamalizeni kiutu uzima huko huko, haina haja kuwapa wengine faida hasa kwa maneno ya kashfa.

You are better than that.

hasira zinaisha,sikuzikiisha na hayo mambo yataisha.ndo maana unaona bado siri.kwani umejua kisa ni nini?bila shaka hujui sema unahisi.so hamna aliyefaidika hadi sasa hivi.movie yetu ina partI na partII.hii partI partII ataguna.subilini picha.mia
 
pole sana mkuu, basi endeleaa kuvuta subira. wahenga walisema " subira ya vuta heri"

dah inawezekana kabisa mkuu.lakini ukimchunguza bata sana hutamla.hii ni sawa na vuta nikuvute.kama anavutwa sijui lakini mimi sijavuta yeyote badala yake.lakini ndo maisha mkuu.mia
 
Mkuu vipi ukiambiwa kuwa hayo maneno ya "chukua yote',"honey',"pokea yote'!nk kuwa maneno hayo sasa anaambiwa mtu mwingine kwa "style"ileile,sauti ileile,pumzi ileile na mapigo yaleyale vipi mzee roho haikuumi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom