CHUKI PARTY na LADY JAY DEE"commando binti machozi"

Party hii imewalenga wanaJF. Anataka kuona comments zetu lakini hamna jipya. Uswazi siku hizi watu wanakuja na matarumbeta kumsuta mtu na wakimaliza wanacheza mchiriko, wanakula pilau na kushushia na mnazi. She's just looking for attention now that anaona watu wamemsahau. Probably anataka watu wamuonee huruma apigiwe kura Kili Awards. Desperate times call for desperate measures
 
Mkemia mkuu wa serikali lazima awepo ku test vyakula vyote na vinywaji kabla wenye chuki kuvila au kivinywa.

Nguli umepinda. Ila umefikiria fasta aisee!!
Ni kweli, manake labda na yeye hawapendi wasiompenda
 
kweli kilashetani na mbuyu wake cheki hapa chini...

blank.gif
editha said... yani nimependa zat idea.uko creative sana.
March 29, 2010 7:37 AM
blank.gif
Anonymous said... mi ni mdau wa hii blog but sijawi kucommet, hii imeni-touch Jide inaelekea hawa watu wanakukera sana mpk ume-come up na hiyo idea, ni wazo zuri sana
blank.gif
Ester Ulaya said... Good idea, waje sasa na huko, maana nadhani watakueleza kila kitu maana blogin huwa havienei
March 29, 2010 7:53 AM
blank.gif
Anonymous said... Binti komando sasa nauona ukomandowako ni idea nzuri,ila hao Visokolokwinya sijui kama watakuja coz uso umeumbwa na haya na kama hawakuja wanakuogopa hawana lolote kama vipi wapotezee wasikumalizie muda watu tunasubiri maraha ya machozi band.uko juu manka
 
She should worry about things that she has, not those she doesnt have. Why worry about your haters! What a waste of time and resource! Hizo hela angeenda kutoa msaada wa mashuka ocean road, akatoa dedication kwa maadui zake.
 
Back
Top Bottom