CHUKI PARTY na LADY JAY DEE"commando binti machozi"

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,102
15,993
CHUKI PARTY

Habari gani wapendwa.

Nimepata wazo moja hivi ambalo ningependa kuwashirikisha, mara nyingi tumekuwa tukifanya party za kukusanyika marafiki, fans na watu wengine wa karibu.
Lakini nimepata wazo tofauti, kuliko kukutana na watu wanaokupenda tu kila siku nimeona niwape nafasi na wengine pia ambao hawanipendi.

Nataka kufanya Chuki Party nitagharamia kila kitu, kuanzia vinywaji, chakula mpaka usafiri wa kuwaleta na kuwarudisha watakaopenda kuhudhuria...na chochote wanachopenda kuvuta kasoro Bangi na vilevi visivyo halalishwa
Venue pia mchague nyinyi, na mpendekeze pia ni nini mnahitaji kiwepo kwenye party hiyo.

Pia ningependa mpendekeze tarehe na muda ambao mngependa party hiyo ifanyike kati ya Jumatatu, Jumanne au Jumatano.
Maana kuanzia Alhamisi Sanya Sanya inaanza kwahiyo hakuna muda.

Nimeona watu wanapata tabu sana kutuma msg na comments za matusi na kejeli, ambazo siwezi kuzi post kwakuwa hazina maana na wala haziwahusu wapenzi wengine wa blog hii...badala yake basi nimeamua kuwakutanisha na mimi live ili kila mtu atoe donge na dukuduku lake linalomsumbua juu yangu.... Nadhani pengine itawasaidia kufahamu yale wasioyafahamu na itawasaidia kupunguza maumivu na chuki waliyonayo dhidi yangu.

Maanake kila siku ukikaa una mkasirikia mtu unakosa amani ya moyoni, nataka kukutana na nyinyi jamani/? Je!! Mko tayari kwa CHUKI PARTY??

Wanaonipenda na fans, na ndugu hawaruhusiwi kwenye party hii.
Hii ni kwa wale wasiopendezwa na mimi kuanzia, mavazi, sura yangu, swaga zangu na chochote nilicho nacho.

Kushiriki party hii ni rahisi sana, niandikie sms kwenye 255 773 212 000 au nitumie e-mail: judyjaydee@yahoo.com

Shughuli ni watu na watu ndio nyinyi, nawategemea sana

with lots of love and respect to you all

BintiMachozi a.k.a Comandoooooo

haya jamani wote wenye chuki nae mnakaribishwa mkatoe madukuduku yenu live:D.

Mkemia mkuu wa serikali lazima awepo ku test vyakula vyote na vinywaji kabla wenye chuki kuvila au kivinywa.
 
Mimi sio Hater wa Jide... nadhani huu ni ule MKWARA wa April 1st FOOLS DAY... ila naamini kuwa Jide ni mmoja wa wale Wanamuziki ambao wana-HIT tu wakiwa na Beef na mtu... Mfano: Wakati ule wa wimbo uleeee wa WANAUME KAMA MABINTI... (Alikuwa na Beef na Mume wake wa baadaye Gardner!!!) Sasa naona Sijui ana Beef na Jamii Forums pamoja na dada mmoja anayejiita Esther Ulaya... Na sasa ana wimbo uitwao MSIACHE KUONGEA pamoja na NATAMANI KUWA MALAIKA... Nadhani kwa style hii ata-HIT... (KILA LA KHERI BINTI MACHOZI... )
 
Mimi nitakuja kushuhudia wanaokuchukia,ila mimi ni mpenzi wako sio wa mapenzi ya ndani,usinicot vibaya hapa.tutarejea hansard sasa hivi.
 
CHUKI PARTY

Habari gani wapendwa.

Nimepata wazo moja hivi ambalo ningependa kuwashirikisha, mara nyingi tumekuwa tukifanya party za kukusanyika marafiki, fans na watu wengine wa karibu.
Lakini nimepata wazo tofauti, kuliko kukutana na watu wanaokupenda tu kila siku nimeona niwape nafasi na wengine pia ambao hawanipendi.

Nataka kufanya Chuki Party nitagharamia kila kitu, kuanzia vinywaji, chakula mpaka usafiri wa kuwaleta na kuwarudisha watakaopenda kuhudhuria...na chochote wanachopenda kuvuta kasoro Bangi na vilevi visivyo halalishwa
Venue pia mchague nyinyi, na mpendekeze pia ni nini mnahitaji kiwepo kwenye party hiyo.

Pia ningependa mpendekeze tarehe na muda ambao mngependa party hiyo ifanyike kati ya Jumatatu, Jumanne au Jumatano.
Maana kuanzia Alhamisi Sanya Sanya inaanza kwahiyo hakuna muda.

Nimeona watu wanapata tabu sana kutuma msg na comments za matusi na kejeli, ambazo siwezi kuzi post kwakuwa hazina maana na wala haziwahusu wapenzi wengine wa blog hii...badala yake basi nimeamua kuwakutanisha na mimi live ili kila mtu atoe donge na dukuduku lake linalomsumbua juu yangu.... Nadhani pengine itawasaidia kufahamu yale wasioyafahamu na itawasaidia kupunguza maumivu na chuki waliyonayo dhidi yangu.

Maanake kila siku ukikaa una mkasirikia mtu unakosa amani ya moyoni, nataka kukutana na nyinyi jamani/? Je!! Mko tayari kwa CHUKI PARTY??

Wanaonipenda na fans, na ndugu hawaruhusiwi kwenye party hii.
Hii ni kwa wale wasiopendezwa na mimi kuanzia, mavazi, sura yangu, swaga zangu na chochote nilicho nacho.

Kushiriki party hii ni rahisi sana, niandikie sms kwenye 255 773 212 000 au nitumie e-mail: judyjaydee@yahoo.com

Shughuli ni watu na watu ndio nyinyi, nawategemea sana

with lots of love and respect to you all

BintiMachozi a.k.a Comandoooooo

haya jamani wote wenye chuki nae mnakaribishwa mkatoe madukuduku yenu live:D.

not funny!
 
Mimi sio Hater wa Jide... nadhani huu ni ule MKWARA wa April 1st FOOLS DAY... Nadhani kwa style hii ata-HIT.....
hii nayo point atakua amekosea kuitoa mapema ilibidi atume sa sita usiku.......ila kwa wabongo na nnavyowajua wasanii wetu hii inaweza kuwa kweli..
 
ma star wa bongo hasa wanachekesha! hivi unataka usifiwe tu?
kama umechemsha katika uvaaji, usukaji, uchezaji, u-make-up-uji utaambiwa tu, si umetaka mwenyewe kuwa kwenye spot light!
kwa vile wana matatizo ya kuto jiamini ndo unakuta wanakuja na mawazo kama hayo, ikiwa ana mean it or not, huwezi kujibizana na watu mbele ya fans yako kisa hawapendi nguo zao!
crap
 
I think she needs somebody with sober mind to advice her it seems Gadner na yeye ni hali moja mwanaume huwezi kumruhus mkeo afanye mambo ya kipuuzi kama hayo hapo ndo atajiharibia zaidi mbona
 
Nadhani badala ya kupata simu za kuomba mialiko atapata simu na email za madongo zaidi lol hii ni more than childish
 
Jamani Jay dee wangu mbona naona kama hufuatilii maisha ya masupa staa wengine wa nchi zilizoendelea...naomba JAY DEE achukue muda wake kusikiliza na au hata kusoma lyrix za wimbo wa LIL WYNE uitwao Mr. Carter....humu ndani ya wimbo nadhani atajifunza jinsi gani watu wanavyochukiwa lakini baaado wanasonga mbele na maisha yanaendelea...POLE DADA YANGU JAY DEE
 
Huyu binti kwao ni TARIME. Ni watu wanaowekeka visasi na mapanga nje nje. Hivyo kama ujipendi wewe nenda. Cha Msingi endeleeni kumpa "Feedback" kwani yaonekana anasoma anayoandikiwa, usiende, kwani badala ya sumu atatembeza mapanga. Nasikia amekana UTARIME wake
 
I think she needs somebody with sober mind to advice her it seems Gadner na yeye ni hali moja mwanaume huwezi kumruhus mkeo afanye mambo ya kipuuzi kama hayo hapo ndo atajiharibia zaidi mbona
Ni wakati wa Gadner kufanya anayopaswa kama mume,mke akivua nguo hadharani kwa ulevi (hata sifa) unamsetiri kwa kumuadabisha. Ila kama wakati ule aliibwa yeye ule wimbo "wanaume kama ............." ahh! basi bwana atulie asije pewa singo nyingine bure.
 
ukweli nimeipenda cjui mnaionaje ila ni ubunifu mzuri sana mana watu wanawabeba watu mioyoni kama daladala kwa party hii unafika mnaonana na mbaya wako unamchambaaaaaaaaaa we ukimaliza unakula, unakunywa unavuta moyo mweupeeeee mnamaliza tofauti zenu mpaka wakati mwingine itakapoandaliwa wakiibuka wapya tena. binafsi nimeipenda nitafutilia nione mafanikio yake na mm nitaandaa yangu niwaite wabaya wangu wote
 
Huyu demu yuko suicidal, hata aipate mbingu na dunia haridhiki, ndugu zake muangalieni ana matatizo ya kisaikolojia.

Hivi JD ni nzi gani mpaka watu wamchukie hivyo? Na kusema mtu hajui kuimba kama kweli hajui kuimba si chuki.

Elimu tatizo, malezi tatizo, self confidence tatizo, misifa tu.
 
JIDE
Idea njema kweli maana wabongo kwa unafiki tumezidi. tunapigana na kutupiana mawe gizani lakinin hadharani tunakumbatiana na kupeana heri njema
 
Back
Top Bottom