Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,273
- 2,648
Habari ndugu wana jf. Rafik yangu wa karibu hivi majuz alikuja kuniomba ushauri. Alinieleza kuwa chuchu za matiti ya mpenz wake zmeingia ndan kama kitovu (kwa vitovu vya ndan) na kuacha kiduara cheusi kizungukacho chuchu wakt kilima hicho (kichuchu) kikiwa hakpo (ktk kla titi) . Alicho niuliza ni je hali hyo inasababishwa na nn? Je kuna mechanism yoyote ya kuzfanya chuchu ztokee kwa nje maana hali hyo inaweza kumsumbua mtoto wakat wa kunyonya pind atapo jifungua. Kiukweli nilishndwa kumshauri coz its non of my profession, zaid nilimwambia nipe mda. Hebu naomben tumshaur ndugu.