Kasome Waefeso 1:5. Ally nimeipenda hii ya kutaka andiko. Kumbe unajua kuwa kila kitu kinathibitishwa na andiko. Mungu akubariki.
Mi hata mnipige mawe nitazidi kusema mwalimu mwakasege ni yule wa zamani wa leo ni mchumi.
Mi hata mnipige mawe nitazidi kusema mwalimu mwakasege ni yule wa zamani wa leo ni mchumi.
Nadhani unashindwa kuelewa kwamba,Biblia imejaa mafundisho ya uchumi mfano 2Wakorintho8:9,Mithali22:7, 3Yohana1:2, Isaya48:17
Mi hata mnipige mawe nitazidi kusema mwalimu mwakasege ni yule wa zamani wa leo ni mchumi.
Ni mwizi .... kupitia sadaka za waumini "walio zaliwa upya" kwa kumwamini Kristo kuwa Bwana na Muokozi wao
Hata unipe mistari mingapi,
simkubali mimi tu lakini.
Namjua kama mtumishi wa Mungu asiye na makuu na asie na dhehebu no wonde yeye hujiita just Mwalimu ingekuwa zama zile Angeitwa Rabi.Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Nasikia ni Mhubiri,
je kanisa lake liko wapi?
Ni mlutheri nadhaniNamjua kama mtumishi wa Mungu asiye na makuu na asie na dhehebu no wonde yeye hujiita just Mwalimu ingekuwa zama zile Angeitwa Rabi.
Ni mlutheri nadhani
Yeye kama yeye originally ni Mlutheri ila kwenye mahubiri/mikutano yake he goes for All tofauti na wahubiri wengi tuwajuao.Ni mlutheri nadhani
Hiki cha wasiojulikana?Kwakweli mi sina la kuongea zaidi ya kuwaomba kuwa TUZIDI KUMUOMBEA mtumishi wa Mungu.
Mwaka jana ilifanyika toba ya kitaifa pamoja na maombi mbali mbali pale Biafra kinondoni.
Nashukuru sana nilikuwa mmoja wa watu tuliokwenda kuliombea taifa letu.
Tena kuna kitu ambacho NILIOMBA kuhusu nchi yetu, nashukuru hicho kitu kinaanza kijidhiliriha, kweli Mungu mkubwa.
Mwalimu Mwakasege yuko juu sana huwezi kumlinganisha na watumishi wengi kwasababu moja kubwa,hafungwi na minyororo ya madhehebu.Nimewahi kuhudhuria semina nyingi za Bwana Mwakasege sikuwahi kumsikia hata siku moja akiwaelekeza watu waende kwenye dhehebu fulani fulani.
Kuna kasoro moja kubwa ambayo nimeiona kwa Bwana Mwakasege siku za karibuni amejikita sana kuwahimiza watu kwenda Israel.Amefikia hatua ya kuandaa safari za kwenda Israel kwa wanandoa as if uponyaji unapatikana unapokwenda Israel.Bwana mwakasege ndiye aliyemshauri E Ngoyai Elowassa kwenda Israel mara baada ya kuitia hasara kubwa nchi yetu na mkataba wa RICHMOND badala ya kumshauri aombe radhi watanzania kwa uzembe anamshauri aende Israel.
fanya na wewe ujanja upige helaNi mjanja mjanja tu wa hapa mjini ana taasisi yake nje ya kanisa lake kwa ajiri ya kupiga hela