Christina Shusho na MAFUVU

Bora umeliona, watu wanajifanya hodari wa kujua mambo kumbe hawajui lolote. Duniani kuna secret societies lukuki lakini watu wanajifanya kuwa wanaijua freemansons tu na kumbe hawaijui. Hebu tujiulize: alama ama ishara ya freemansons ni ipi?, taswira ya mafuvu ni alama ya freemanson?, mbona freemansons ni society ya kawaida kama red cross, redcrescent, st, john's ambulance, lotery club et cetera?!, zipo secret societies zinazofanya kazi kwa siri na zinaambatana na viapo vikali kama s
rosicrus, skullists na nyingine nyingi ambazo huwezi kujua hata ofisi zao ama wakati na mahali wanapokutana lakini zina-influence maisha ya viumbe duniani kwa kiasi kikubwa. La msingi tuache kuwahukumu wenzetu bila vielelezo.
Kaazi kweli kweli. Hivi watu wana elimu kiasi gani kuhusu Freemasons? Maana bila kujifunza na kuelewa vizuri hawa jamaa ni kina nani tunaweza kujiingiza kwenye kazi ya kupaa rangi nyekundu mji mzima kwa kutumia kopo moja
 
I think its none sense kusema alivaa kwa bahati mbaya au eti haelewi tafsiri ya kuvaa mafuvu! Ni muhimu sana kuwa makini na hawa watu maarufu hata kama ni "watumishi/wapendwa". Wachungaji mbali mbali wanaendesha semina na hufundisha juu ya madhara ya kujiremba kupitiliza, alama mbalimbali za kishetan, jinsi watu wanavyoweza kuitumikia kuzimu,n.k! Napata hofu kama SHUSHO hajawahi na/au hajui kuwa mafuvu ni moja ya alama za kishetani na hutumika sana kwenye mavazi! By the way, God is the only to judge his people!
 
mim sina nguvu za kumpoteza,anayepoteza watu ni shetani,kama kapotea au bado yuko kundini anajua Mungu.
Kumbukeni hata watumishi ni wanadamu,leo mtaongelea uvaaji wake kesho mtaongelea uongeaji wake mwishowe kila mtakachokiona kwake mtakiona ni cha ki freemasons.Christina ni mmoja wa watumishi wenye hofu ya Mungu ndio maana hata scandal za ajabu hana.

Hana scandal!?vipi hii ya mafuvu?au ya kawaida tu hii?
 
Hii haina maelezo hapa kuna tatizo....kumbuka Petro alimkana Yesu mara tatu lakini watu wakamwambia angalia jinsi anavyoongea si anafanana na Yesu hata kuongea kwake,angalia jinsi anavyotembea si anafanana naYesu....sasa hapa Christina (Au mpakwa mafuta) anafanana na nani anayemtumikia? Kuna kitu kinaendelea ndani ya mtumishi huyu...angaalie yupo mmoja amechangia hapa kuwa Flora Mbasha kaishia kuwa mwimbaji wa CCM...TOTI NO 2 sasa Dada!!!! take care....
 
Kwa mtu mwenye dhamiri ya mungu ndani naamini hawezi kuvaa nguo ya mafuvu. Kama amevaa kwa kutojua ninamshauri awaombe radhi kwa wale ambao atakua amewakwaza kwa kuvaa hiyo nguo through media.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom