Christina Shusho na MAFUVU

Jamani lazima sana tuwe makini juu ya mavazi..DRESS CAN SOUND...sijui sana ila kila vazi lina ligha,sasa sijui kama itakuwa ni busara...kama tutaingia kanisani na mavazi ya kuhamasisha kuvuta bagi au yenye maneno ya matusi kama vile leo t-shirt huchapishwa eti ****,utajiju nk.
 
nasita kumsema mbaya mtumishi wa Mungu aliye hai, let the Almight judge!!

Yaani alikwenda dukani na kuchagua hiki kitambaa chenye picha za Mafuvu? Sintamshangaa nitakapokuja kumuona amevaa gauni jingine jukwaani yenye picha za majani ya Bangi! Siku hizi dini ni Business!
attachment.php
 
huwa najiuliza sana labda leo mnisaidie maana hapa pia nimeona why huwa anavua pete zake za ndoa? na ni makubwa kweli akiwa ameyavaa au uzito unazidi? au joto? au ndoa yake inashida? ninachoju huwa anapenda kujiremba sana hasa ukiwa maarufu inabidi uwe na mtu wa kukushauri mavazi na jinsi ya kutoka mbele za watu hapo kweli amekosea bila hata ubishi mmh mkanda kama wa lady gaga vile...
 
nimepitia kwa umakini......freemason and other devilish organizations at work...! we have to be careful for almost everything we do and act...we might be supporting the evil works of SATAN while thinking we are on the right track......HELP US JESUS
 
Sio wote waniitao bwana bwana watakaurithi ufalme wa mungu bali ni wale wanaoyatenda mapenzi yangu.siku inakuja nayo ikaribu. Wengi sikuile watakuja lakini nitawaambia sukuwajua ninyi. Kumbuka ni wapi umekosea ukatubu
 
'NITAJITAHIDI kuwa mwaminifu,nakupendaaaaa!

Ha ha ha ha ha ha,Kumbe ule mstari kwenye wimbo wake wa Adam/Ndoa uliunyaka eeenhe?!
Mm pale niliona Kachemka,Uaminifu sio swala la Jitihada,halafu ukisema UTAJITAHIDI inaweza pia kutafsiriwa kwamba wewe ni mtu mzinzi kiasi kwamba una mashaka kama utauweza Uaminifu!!

Nadhani ile ilikuwa dosari,hata hivyo NAMKUBALI SANA CHRISTINA SHUSHO LABDA KAMA AMEANZA KUCHUJA!!
 
mwacheni dada wa watu,hayo si marembo ya kwenye nguo tu.
mtafanya watu kila wakitaka kuvaa waangalie nguo ina marembo gani.
kwani nyie mnafikiri hayo mafuvu yanamaanisha nini?
kwanza kapendeza ile mbaya.
Christina usiwajali hawa,muimbie Mungu wako,yeye ndiye anayejua dhamira yako.

Acha Kumpoteza Christina,ni muhimu awe mwangalifu kuhusu njia zake kwa sababu yeye ni mtu mwenye Heshima katika Jamii na zaidi sana ana muimbia Mungu,lazima awe ana mawaa unless watu wawe wanashuhudia uongo!!

Ni muhimu kujali wengine wanasema nini na hasa kama wanasema Ukweli,kama hakuvaa kwa hila basi sasa amejua asirudie tena!!

Kama maoni ya watu wengine sio muhimu kwa nn Yesu aliuliza hivi "Watu wananisema Mm kuwa nani????.........Na nyinyi mnanisema kuwa nani?

In essence,Jesus needed feedback,he needed to know his reputation,let alone us!!

I revere Christina Shusho thats Y i recommend that she stays vigillant!!
 
mim sina nguvu za kumpoteza,anayepoteza watu ni shetani,kama kapotea au bado yuko kundini anajua Mungu.
Kumbukeni hata watumishi ni wanadamu,leo mtaongelea uvaaji wake kesho mtaongelea uongeaji wake mwishowe kila mtakachokiona kwake mtakiona ni cha ki freemasons.Christina ni mmoja wa watumishi wenye hofu ya Mungu ndio maana hata scandal za ajabu hana.
 
mmmmh!!!! only one thing..mi huwa nayaogopa sana hayo mapicha ya mafuvu jamani.
 
Sijamuelewa kwakweli, hekima ni jambo la kumuomba Mungu akupe na kumuomba asikuondolee du!
 
Kaazi kweli kweli. Hivi watu wana elimu kiasi gani kuhusu Freemasons? Maana bila kujifunza na kuelewa vizuri hawa jamaa ni kina nani tunaweza kujiingiza kwenye kazi ya kupaa rangi nyekundu mji mzima kwa kutumia kopo moja
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom