Christina Shusho:Malkia wa injili aliyekamilika kila idara.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Yaani huyu dada kwa kweli nampenda sana.
Nikisema huyu malkia amekamilika kila idara namaanisha kwamba Shusho ni mzuri wa sura na umbo.

Hakuna mwimbaji wa kike anayevaa mavazi ya bei ya gharama kama Shusho,pia hakuna muimbaji wa kike anayebadilisha mawigi ya aina mbalimbali kwenye video zake kama huyu,malkia huyu anaongoza kwa kujipamba kwa bangili na hereni kubwa kubwa na kucha ndefu anazozijulia kuzipaka rangi za kuvutia kuliko waimbaji wa kike wa injili Tanzania.

Dada amebarikiwa sauti nzuri na mbali ya yote nabarikiwa sana kwa nyimbo zake za taratibu zilizojaa upako maana sio kila nyimbo ya injili unayoisikiliza imejaa upako kama za dada Christine.
Mungu tunahitaji watumishi wengi zaidi kama hawa waikomboe Tanzania kwa huduma zao.
Mungu zidi kumuinua Christine shusho ktk kutenda kazi yako.

Last edited by a moderator:
hueleweki

Wewe ndio hueleweki, nani alikwambia Injili ni kama Miss Makalio or whatever you may care to suggest?

Injili haina malkia, na ufalme wa Mungu hauna sura nzuri. Jitahidi siku moja moja uwe na hoja za maana. Kwanza umesema wewe ndio unampenda, kama ni wewe ndio anakuwa malkia? Sema ni mtekaji wa moyo wako lkn sio kumtawaza kuwa malkia kisa kakupa cd moja bure
 
Kuvaa nguo za gharama, kubadilisha mawigi, kucha ndefu za rangi.................,
Uzuri wa mungu hauhitaji vidude vyote hivyo.
 
Yaani huyu dada kwa kweli nampenda sana.
Nikisema huyu malkia amekamilika kila idara namaanisha kwamba Shusho ni mzuri wa sura na umbo.
Hakuna mwimbaji wa kike anayevaa mavazi ya bei ya gharama kama Shusho,pia hakuna muimbaji wa kike anayebadilisha mawigi ya aina mbalimbali kwenye video zake kama huyu,malkia huyu anaongoza kwa kujipamba kwa bangili na hereni kubwa kubwa na kucha ndefu anazozijulia kuzipaka rangi za kuvutia kuliko waimbaji wa kike wa injili Tanzania.
Dada amebarikiwa sauti nzuri na mbali ya yote nabarikiwa sana kwa nyimbo zake za taratibu zilizojaa upako maana sio kila nyimbo ya injili unayoisikiliza imejaa upako kama za dada Christine.
Mungu tunahitaji watumishi wengi zaidi kama hawa waikomboe Tanzania kwa huduma zao.
Mungu zidi kumuinua Christine shusho ktk kutenda kazi yako.

Dada Cheusimangala , mimi huwa nakukubali lakini umemsifu Shusho kidunia mno.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio hueleweki, nani alikwambia Injili ni kama Miss Makalio or whatever you may care to suggest?

Injili haina malkia, na ufalme wa Mungu hauna sura nzuri. Jitahidi siku moja moja uwe na hoja za maana. Kwanza umesema wewe ndio unampenda, kama ni wewe ndio anakuwa malkia? Sema ni mtekaji wa moyo wako lkn sio kumtawaza kuwa malkia kisa kakupa cd moja bure

Sasa ndio utangaze kila mtu ajue kuwa nimepewa CD ya bure.
Ni malkia wa injili Tanzania hakuna kupinga.
 
Uzuri manake nini? We umekalia kuchungulia figure nani kakupa kupima kazi ya Mungu? ww mwinue Mungu na sifia mistari ya biblia na si vinginevyo.

Mim sijachungulia figa,nguo anazovaa zinabana kwa mbaali na hivyo figa yake inaonekana bila hata kuhitaji kuchungulia.
Kapewa figa nzuri lazima aioneshe.
 
Dada Cheusimangala , mimi huwa nakukubali lakini umemsifu Shusho kidunia mno.

Mim pia nakukubali sana nadhani unajua,kwani hizo sifa nilizompa zina ubaya,na pia sio uongo au hujaiangalia video yake?
Hivyo ndivyo anavyojipamba na mim sioni tatizo ktk hilo.
 
Tamaa hizo!

Yaani huyu dada kwa kweli nampenda sana.
Nikisema huyu malkia amekamilika kila idara namaanisha kwamba Shusho ni mzuri wa sura na umbo.
Hakuna mwimbaji wa kike anayevaa mavazi ya bei ya gharama kama Shusho,pia hakuna muimbaji wa kike anayebadilisha mawigi ya aina mbalimbali kwenye video zake kama huyu,malkia huyu anaongoza kwa kujipamba kwa bangili na hereni kubwa kubwa na kucha ndefu anazozijulia kuzipaka rangi za kuvutia kuliko waimbaji wa kike wa injili Tanzania.
Dada amebarikiwa sauti nzuri na mbali ya yote nabarikiwa sana kwa nyimbo zake za taratibu zilizojaa upako maana sio kila nyimbo ya injili unayoisikiliza imejaa upako kama za dada Christine.
Mungu tunahitaji watumishi wengi zaidi kama hawa waikomboe Tanzania kwa huduma zao.
Mungu zidi kumuinua Christine shusho ktk kutenda kazi yako.
 
Last edited by a moderator:
Kama ungekuwa na deni la kubwa usiloweza kulipa au umeshtakiwa kwa kosa la kuua na uko jela, halafu rais akatoa msamaha ufunguliwe uwe huru, halafu akaja askari kukuletea habari na kukufungulia geti utoke, ungempenda, kumsifu na kumshukuru nani?
 
mwenzio mim sipendi maswali,hebu toa jibu la swali lako.
 
Kimsingi Christina Shusho ni muimbaji mzuri wa nimbo za Injili pia sikuwahi kusikia hata maramoja ametajwa vibaya na nyimbo zake zote zimekuwa zikifanya vizuri sokoni. Ila katika suala la kuvaa wig na kucha za bandia mimi silifahamu na wala sidhani kwamba nijambo la kujivunia mbele za watu!
 
Back
Top Bottom