Christian Professional of Tanzania - CPT

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
kuna wakati hawa jamaaa waliitikisa nchi na ile issue ya waraka.
hivi ni nani na nani wapo nyuma ya hii jumuiya?

Ushawishi wao ktk maswala nyeti ya kitaifa ni wa kiasi gani?kwa maslai ya nani?
kwanini wanaibuka kwa msimu fulani tuu na kupotea? Nini majukumu yao ya kila siku?

Wadau maswali ni mengi ila kuna haja ya kuwafaham vizuri hawa jamaa.au ndio system within a system.
inasemekana mambo yao huwa ni chini kwa chini kama hawapo (strategic planners)
na huwa hawakurupuki.

Haya wadau tupeane elimu.

They are existing...but surely they touch many different issues pertaining to the welfare of the majority. Probably you notice their presence on the issues that interest you most, politics. jaribu kudadisi, maana ni kama they had a meeting last weekend somewhere in Dar.
 
now ur talkin,that's what we lyk 2 hear
 
Hawana jipya katika anga za siasa, walimtumia Dr. Slaa, sasa hivi watakuja na elimu ya uraia kuhusuiana na katiba mpya
 
Kadoda 11

si unataka kusikia??

wale jamaa hawana maana kabisa, yani wao wakikaa ni kumsema JK na waislamu wote duniani, tena wana majungu sana, bora wewe aisee at least unapata dili za matangazo aisee na huwa hauulizwi. ile mijamaa sijui vipi... nilijiunga nayo badala ya kuongea profesheni wao wakawa bize kuleta mambo ya udini halafu watu wenyewe hata jizas hawamjui kabisa

bora wewe una upeo mkubwa kama jamaa hapo chini
vv.jpg
 
View attachment 42836
Hawa wanaruhusiwa kupokea sacramento ?!
 
Kwenda zako weye, hakuna kitu kinachoitwa Christian prof.... Of Tanzania, na hakijawahi kuwepo. Hata tanzania kuna Cathoric Prof... Of Tz na si hiyo unayoitaja wewe, hiki ni chombo ndani ya kanisa katoliki na kinafanya kazi kama jumuiya nyingine za kanisa kwa maslah ya kanisa na si vnginevyo.
niende wap JF ndo nimefika.pia acha pupa ya kuchangia kijinga jinga.
 
Kadoda 11

si unataka kusikia??

wale jamaa hawana maana kabisa, yani wao wakikaa ni kumsema JK na waislamu wote duniani, tena wana majungu sana, bora wewe aisee at least unapata dili za matangazo aisee na huwa hauulizwi. ile mijamaa sijui vipi... nilijiunga nayo badala ya kuongea profesheni wao wakawa bize kuleta mambo ya udini halafu watu wenyewe hata jizas hawamjui kabisa

bora wewe una upeo mkubwa kama jamaa hapo chini
View attachment 42836
mtm wewe ni bonge la genius na ni sahihi kabisa kuufikia JF Premium Member.mchango wako upo deep sana.kwa jinsi ulivyo na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo nahisi utakuwa una katabia kama elton joh.jpg ka huyu jamaa katika picha."you cant judge me......it wasnt ok":biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::lol::lol:
 
mtm wewe ni bonge la genius na ni sahihi kabisa kuufikia JF Premium Member.mchango wako upo deep sana.kwa jinsi ulivyo na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo nahisi utakuwa una katabia ka huyo jamaa katka picha.View attachment 42846"you cant judge me......i wasnt ok":biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::lol::lol:

hatred.jpg
yeah daym right, upeo wako hauna kipimo

umetafuta udini jukwaa lenu umekosa

ukibonyezwa hapa utakimbilia kuripoti kutafutia watu ban.......... haya bana

unakumbuka zile baiskeli za ms**** bong'oa??

nimekununulia moja yakheee
 
unaona ona sasa usha panic.nilijuwa lazima utalipuka kwa hasira.ha ha ha ha.endelea nakuvutia pumzi nikupandishe zingine na za nyuma.....kumbe ulikuwa umetegesha JF ukinisubir uone nitavyo kuwa nakupelekea moto.....
 
Back
Top Bottom