Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

jamani jamani namzimikia kwa mavokabulary mie loh!!! naanza kumkonsider nguli siriazily ili niwe karibu na bluu rei angalau as my in-law tu basi...au Xpin unashaurije?

Nakushauri uwatumikie wapwa kwa zamu zamu.
 
Mie nakuonya lakini ,blurei hamuamini Mungu.Ukiwa in-law kwenye huo ukoo jiandae kufunga siku 40 na kuomba.

ZD yaani tena umenikumbusha kitu nlisahau. EEH Bluray anakuwaga mbogo kwenye manyuzi ya Mungu loh! Nakumbuka ile ya NNAUYE JR. Nilimuogopa ile mbaya.
 
Na wewe kama huna mtu mimi niko idle nina urefu wa ft 3.5 nina kilo 89 nina elimu ya secondary ninakipato kizuri kama unataka picha sema nitaweka hapa sasa hivi n will tell the WHOLE FORUM MY LOVE 4U....nimeweka english ili unikubali .....

sijakuambia ubadili ka-avtar kako haya umeshabadili heeee, unajituma kweli nguli
 
Du! kweli i missed things around here. HONGERA ZD for an ideal hubby.

ur back? thanks be to God we missed u a lot, walisema eti shemeji kakufungia ndani tulikusifia sana after ile get together.
 
ur back? thanks be to God we missed u a lot, walisema eti shemeji kakufungia ndani tulikusifia sana after ile get together.
Thanks, am back~! shemeji9 yenu alikuwa na hasira na kusema lazima anipeleke maternity haraka iwezekanavyo ili nisimuweke roho juu lol!
 
Thanks, am back~! shemeji9 yenu alikuwa na hasira na kusema lazima anipeleke maternity haraka iwezekanavyo ili nisimuweke roho juu lol!

Karibu sana naona umefika penyewe jiandae mama kuna get tugedha ya Mikumi jipange vp vekesheni lakini ilikuwa bomba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom