Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Nguli Nguli, Bluray ni bro wako????????????

Ulikuwa hujui? Ni kaka yake: baba mmoja mama mbalimbali. Bluray kakulia Northingham wakati mpwa nguli kakulia mwananyamala kwa kopa!
 
Mpwa una undugu na Bluray? Naona hicho kimombo chako kama cha kidikshenari vile.

hihihihi...angekuwa ndugu yangu kila kona home tunaweka dikshenari akitoa bomba tu unajipinda kusaka..siku hizi mtaani wanani koma nikiona post yake tu kijiweni wananitambua.
 
Hahaha! Si utani, huyu jamaa kanipa mavokabulari ya kumwaga. Nikiwa kaunta na serengeti kadhaa kichwani washkaji huwa wanaipata habari yao. Ni kiblurei mtindo mmoja.
 
Ulikuwa hujui? Ni kaka yake: baba mmoja mama mbalimbali. Bluray kakulia Northingham wakati mpwa nguli kakulia mwananyamala kwa kopa![/QUOTE]

Unazidi kunifukuzia ma do sema nakaa masaki lazima uwadanganye kidogo
 
Ulikuwa hujui? Ni kaka yake: baba mmoja mama mbalimbali. Bluray kakulia Northingham wakati mpwa nguli kakulia mwananyamala kwa kopa!
jamani jamani namzimikia kwa mavokabulary mie loh!!! naanza kumkonsider nguli siriazily ili niwe karibu na bluu rei angalau as my in-law tu basi...au Xpin unashaurije?
 
Mie nakuonya lakini ,blurei hamuamini Mungu.Ukiwa in-law kwenye huo ukoo jiandae kufunga siku 40 na kuomba.
 
jamani jamani namzimikia kwa mavokabulary mie loh!!! naanza kumkonsider nguli siriazily ili niwe karibu na bluu rei angalau as my in-law tu basi...au Xpin unashaurije?

hivi kwa nini watoto wa siku hizi mnapenda sana wazee? hata hapa slpway naona visicha vidogo vinapita na wazungu hata sijui 6x6 kama vinapatiwa haki.
 
naona mkakati wako ni kuwaua wapwa woote!
 
hivi kwa nini watoto wa siku hizi mnapenda sana wazee? hata hapa slpway naona visicha vidogo vinapita na wazungu hata sijui 6x6 kama vinapatiwa haki.

Kwani blurei ni kibabu..hihihi na tumiwani flani, kipara hivi nywele zinashindana kudondoka...mi simo nimetoka segerea juzi tu sitaki kurudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom