Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 386
- Thread starter
- #61
Ipake rangi ipendezee!
Watu mna majibu
Ipake rangi ipendezee!
Duuh mkuu hivi viingilio havina nia njema na sisi ambao pesa zetu ni za kutafuta huku unamulika na tochi.
Ngoja wenye mahela wataenda mimi nasubiri clouds afanye msaada wa kurusha kwenye tv
na upatikanaji wake pia mrahisi au mgumu??
kupata hio 10000
Kuna hati hati kuwa yule msanii wanaemwita wa surprise akahusika tena na surprise ingine
Tz 20000Ni kama 2100 kwa pesa ya bongo kama gharama yake ni hiyo kweli
basi sawa sawa na sisiNi mgumu ndomana kenya pesa inaheshimika na wananchi wake na maisha ni ghari kidogo
Hiyo sasa ndo itakua supriseYou never know brother. Joho is full of surprises. He may bring 2pac from the dead.
hatar yan,, sijui criss ataunganisha fiestani
hatar yan,, sijui criss ataunganisha fiestani