Chris Brown na Wizkid kuipaisha Mombasa October 8th 2016

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
238
386
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo kwa ajili ya kutumbuiza.

Lengo la tamasha hilo ni kuufurahia mji wa Mombasa na kuufanya mji wa starehe na anasa/kitovu cha watalii East Africa na pia kuvutia Investors mbali mbali.

Bei za Entrance:
IMG-20160926-WA0047.jpg
IMG-20160926-WA0047.jpg

Kiingilio cha kawaida: Kshs.10,000 = Tshs.210,000

V.I.P: Kshs.20,000 =Tshs. 420,000

V.V.I.P: Kshs. 50,000 = Tshs. 1,050,000
 
mmh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000

Hahahaha ati nauli za kwenda Burkinafaso.
But am serious. Bei za viingilio ndio hizo my dear.
 
Gavana Joho ana penda burudani ile mbaya.
Huyo kweli Gavana wa Mombasa, nadhani wampeta mtu sahihi hao

Yani Mombasa ni anasa na maendeleo mwanzo mwisho tangu achaguliwe Governor. Jamaa anajaribu kuondoa ile limelight ya kuwa kila kitu kinafanyika Nairobi. Kina Ruto wasipochunga 2022 jamaa anasimamia uPresident. Kuna campaign tayari imeanzishwa [HASHTAG]#JohoForPresident2022[/HASHTAG].
 
Hahaha
Joho kwa kweli hawaelewani na kina Kenyata. Lakin si sasa yuko na Odinga!!?
 
Ingekuwa tarehe 2/3 oktoba wazee wa fursa Clouds wangempisha C. Brown kwa muda apige show Fiesta kwa mbwembwe kibao maana huwa wanapenda mtelezo wanajichukulia wale wanaopita kwenye tour nchi nyingine na kumshawishi aje afanye Utalii TZ
 
Hahaha
Joho kwa kweli hawaelewani na kina Kenyata. Lakin si sasa yuko na Odinga!!?

Yah yeye ni Opposition yuko na Raila bega kwa bega. Infact Raila amemuAppoint kama Assistant leader wa chama cha ODM. This coming Elections 2017, anamuachia Raila then 2022 anasimama mwenyewe kama Opposition leader. The guy can do it. He is super rich and has enough influence.
 
Yes he z gud
Hata mi namkubali sana
 
Gavana Joho ana penda burudani ile mbaya.
Huyo kweli Gavana wa Mombasa, nadhani wampeta mtu sahihi hao
Hata mm kuna kitu nimeona..sahv nadhani Mombasa watu wanakula burudani kuliko Nairobi kumbe kuna gavana ambaye yuko vizuri" Binafsi hata Tz nilifurah JembekaFestival walivyomleta NeYo Mwanza hii inaonesha sio kila kitu lazma kifanyikie Dar.
Bigup Gavana Joho
Yani Mombasa ni anasa na maendeleo mwanzo mwisho tangu achaguliwe Governor. Jamaa anajaribu kuondoa ile limelight ya kuwa kila kitu kinafanyika Nairobi. Kina Ruto wasipochunga 2022 jamaa anasimamia uPresident. Kuna campaign tayari imeanzishwa [HASHTAG]#JohoForPresident2022[/HASHTAG].
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom