Choo cha kulipia Posta

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Leo nimebanwa na haja kubwa wakati naendelea na mizunguko yangu Posta. Nimehangaika lakini bila mafanikio kutafuta sehemu ya kukatia gogo. Yaani ilinibidi nitumie mfuko wa plastiki na kuhifadhi mzigo kwenye buti. Kwakweli kuna umuhimu kwa serikali kujenga choo cha jumuia posta vinginevyo mnatuua wageni wa mji huu.
 
Duh kwelı wewe mkalı kwenye buti ya gari,kwahyo hapo unatembea na kı.mba ndani ya garı yako,kumbe ndıo maana kuna gari lımenipıta maeneo nıkasıkıa harufu mbaya,duh pole mkubwa
just a joke.
 
Mkuu mbona pale Posta ya Zamani Opposite na NBC Corporate Branch kuna Vyoo vya kulipia? Au kama vipi ungezama hata bar yoyote ya karibu ukazuga kama mteja ila brake ya kwanza toilet then ungerudi kaunta walau kununua maji ya kunywa. Pole sana.
 
ukiingia hapo benjamin mkapa vyoo vimo kibao,au ungeenda pale bar kwa mbowe break point ungemaliza haja yako,nic pale,hapo posta kuna bar kibao ungejisiadia tu.labda useme umekosa packing.mia
 
Ugeni mkuu, mlalamikaji ni mtu ambaye huwa anakuja Dsm mara moja kwa mwaka.
 
Siku nyengine kaza mwendo elekea baharini mkuu,, uta enjoy sana,, una download huku kaupepo mwanana kanakubembeleza.

Angalia sana wapi unaenda kutupa hiyo akiba,,si unajua watoto wanavyojiokotea!
 
Duh kwelı wewe mkalı kwenye buti ya gari,kwahyo hapo unatembea na kı.mba ndani ya garı yako,kumbe ndıo maana kuna gari lımenipıta maeneo nıkasıkıa harufu mbaya,duh pole mkubwa
just a joke.

hahahahahahaha! Mi nasikia harufu ya kinyesi hadi kwenye hii thread. Jamaa hajanawa.
 
ukiingia hapo benjamin mkapa vyoo vimo kibao,au ungeenda pale bar kwa mbowe break point ungemaliza haja yako,nic pale,hapo posta kuna bar kibao ungejisiadia tu.labda useme umekosa packing.mia
Huu ni mbadala nzuri lakini nadhani tatizo kubwa ni kutokuwa na public toilet. Hizo za kwenye mabaa wala hazitasaidia kwani nao walizijenga kwa ajili ya matumizi ya mateja wao si public use
 
mkuu mbona pale posta ya zamani opposite na nbc corporate branch kuna vyoo vya kulipia? Au kama vipi ungezama hata bar yoyote ya karibu ukazuga kama mteja ila brake ya kwanza toilet then ungerudi kaunta walau kununua maji ya kunywa. Pole sana.

sheria za bar si hivyo,unanunua kitu kwanza then kabla hujafunguliwa unaelekea chooni make pengi wanakuwaga na keyfunguo kama c mteja no acsess,pole make mkoko utakuwa unanuka kimba asee khaaaaa
 
Leo nimebanwa na haja kubwa wakati naendelea na mizunguko yangu Posta. Nimehangaika lakini bila mafanikio kutafuta sehemu ya kukatia gogo. Yaani ilinibidi nitumie mfuko wa plastiki na kuhifadhi mzigo kwenye buti. Kwakweli kuna umuhimu kwa serikali kujenga choo cha jumuia posta vinginevyo mnatuua wageni wa mji huu.

Choo kipo maeneo ya stand ya Posta ya zamani pale ufukweni tu... nadhani next time hutaweza kupotea au kujihifadhia uharo. soo vyoo viipo labda sijui uasemea posta ipi
 
Siku nyengine kaza mwendo elekea baharini mkuu,, uta enjoy sana,, una download huku kaupepo mwanana kanakubembeleza.

Angalia sana wapi unaenda kutupa hiyo akiba,,si unajua watoto wanavyojiokotea!

Teh teh teh...
 
Back
Top Bottom