chondechonde wanasiasa!! tusitoe majibu mepesi kwa hoja nzito!!

EBEN

New Member
Jan 24, 2012
2
0
naombe mliokaribu Ndugu yetu huyo SIJUI KAMA NI PROFESA AU NI DOCTA Januari Makamba anavyo waambia wa tannzania kuwa wawekezaji wa mitambo inayozalisha umeme wa tanzania wanaidai tanzania bilioni 263 hivyo wamezima mitambo yao na hivyo umeme uliopo ni ule utokanavyo na vyanzo vyetu vya maji tu,... una uhakika kuwa ni kweli tz inadawa?? mbona sababu ulizozitoa za kuzimwa kwa mitambo hyo zinnakinzana na wadau wengine??? acheni siasa katika hili watanzania wanataka majibu sahihi, na sio kila hoja mnazijibu kisiasa
 
Kumbuka January Makamba ni mwana-ccm pia, hawezi akawa amekulupuka tu na kusema hivyo, something should be fish, kumbuka wahenga walisema lisemwalo lipo kama halipo bas linakuja.
 
Back
Top Bottom