Chondechonde Lipumba, okoa jahazi CUF .

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
Nawasalim wana JF

Naomba tuweke kando ushabiki wa vyama tusaidiane kwenye hili la CUF:

Mwenyekiti LIPUMBA kwa sasa achana na mbio za uraisi andaa sura mpya kwa uhai wa chama.

LIPUMBA msomi mzuri asiye na matumizi kwa sasa (Umma haufaidi elimu yake) tunaomba ugombee ubunge Tabora au hapa DSM (4 sure Temeke utapita) ili tukufaidi ukiwa bungeni.(Primary school students hawaijui CUF)

Mwenyekiti!Kitendo cha CUF kutoonesha makali dhidi ya CCM kutakiadhiri sana chama wakati CDM wakinufaika na hali hii kwa hiyo hili ulitizame upya.
 
  • Thanks
Reactions: V.P
Wakati umefika aende kwenye baraza la ushauri la CUF (kama wanalo) awaachie wengine walete changamoto mpya..
 
Naunga mkono hoja. kwa kuongezea SLAA naye aachane na mbio za urais kwani ni highly divisive figure ataigawa Tanzania kama akishinda (God forbid--will never happen!)
 
Naunga mkono hoja. kwa kuongezea SLAA naye aachane na mbio za urais kwani ni highly divisive figure ataigawa Tanzania kama akishinda (God forbid--will never happen!)
Duh kaingia huyo hapo watu wengine beef tuu hata kwa yasioyohusu
 
kwa sisi CUF viongozi tunafaidika pia ni kosa lajinai kukipinga chama tawala.sasa lengo letu ni kuiuwa cdm endelea kutuamini tumefunga ndoa na ccm tuondoe hichi chama cha makafiri
 
kwa sisi CUF viongozi tunafaidika pia ni kosa lajinai kukipinga chama tawala.sasa lengo letu ni kuiuwa cdm endelea kutuamini tumefunga ndoa na ccm tuondoe hichi chama cha makafiri

Tena afadhali wawe makafiri wa kabila ingine hawa wa kichaga?? eehuuuuuuu
 
CUF ni taasisi ya ccm, lipumba hawezi kufurukuta wao wataishia kukisindikiza cdm ikulu kwa mapambio yao ya kijinga yanayongozwa na mh. wa wete akiwa na usaidizi mzuri wa prf. mwnywe.
 
kwa sisi CUF viongozi tunafaidika pia ni kosa lajinai kukipinga chama tawala.sasa lengo letu ni kuiuwa cdm endelea kutuamini tumefunga ndoa na ccm tuondoe hichi chama cha makafiri

Pole ndugu yangu. Naona unatumia mavi badala ya akili kufikiri jambo.
 
The best lipumba can do for CUF and Tanzania is permanently retire from official politics. Hata akiwa mbunge hata leta chochote kipya. Nashauri arudi chuoni kufundisha economics/history/political science.
 
Back
Top Bottom