Chonde waajiliwa tuache unafiki.

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
[h=6]Waajiliwa mnaionaje changamoto hii? kwa nini hatuwezi kusema ukweli kwa mabosi wetu, hatuna ujasiri wa kuwakosoa badala yake tunawaangalia tu wakipeleka mambo kombo? hatuwezi kusema hapana hata kama maelekezo tunayopokea hayana tija? Tunawasifia hata kama wanaharibu?[/h]
 
wewe una njaa halafu ukaseme ukweli
je haujipendi, labda kitu cha hatari cha
kuweza kuleta maafa ndo utasema
mengine ni mbele kwa mbele tu.
 
Mabosi wengi wa Kiswahili hawapendi challenge toka kwa walio chini yao. Ili uwe salama ni bora kukaa kimya. Yaani hawapendi two way traffik system.
 
Maboss wengi hawapendi kuambiwa ukweli au utakuta anapenda kusikiliza ushauri wa mtu mmoja tu ambaye anaamini anamsaidia lakini mwisho wake anakuja kujuta kama mattaka
 
Back
Top Bottom