Chonde: Tuwe wazalendo na Tusipeleke timu India

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
article-1314352-0B4F3892000005DC-664_306x2144.jpg

article-0-0B4956FE000005DC-343_634x423.jpg

article-1313862-0B48B501000005DC-569_634x328.jpg


article-1314487-0B50BAEF000005DC-808_634x468.jpg

Vyoo na masinki kwenye vijiji cha wanamichezo huko Delhi

article-1314487-0B50BC91000005DC-800_634x527.jpg


article-1314487-0B50BDD1000005DC-976_634x467.jpg


article-1314487-0B512B56000005DC-853_634x417.jpg




kama kweli kuna watu wana National Interest in their heart sidhani kama watathubutu kutaka kupeleka timu yetu ya TAIFA kwenye jahanamu inayowasubiri kule India.

Pamoja na mapungufu yetu lakini hawa Indians wameweka rekodi...lakini why should we worry sana wakati mtaa wa ZANAKI mjini wananunua vyakula ambavyo vimewekwa chini kwenye machi ya choo...kama huamini pita pale karibu na DTV utaona walivyopangiwa matunda na mboga za majani kwenye maji ya choo or if not tazama hali ilivyo kwenye INDIAN QUATER aka MAENEO WALIYOJAZANA WAHINDI MJINI

so why should we commit dada zatu na kaka zetu kwenye uchafu uliokithiri NEW DELHI kwenye mashindano ya Commonwealth?

Kama TANZANIA OLYMPIC COMMITTEE wakikataa kilio chetu na wakapeleka wajumbe luluki halafu wanamichezo wetu wakapatwa na janga loloe then DAMU ITAKUWA MIKONONI MWA ERAASTO ZAMBI (kama bado yupo) na WAZIRI WA MICHEZO...as it is, wahindi watawapa ulinzi na huduma bora zaidi mataifa makubwa huku ndugu zetu kwa AMRI ya waziri wetu wa Mihezo na mambo ya nje na wanaotaka PER DIEM watalazimishwa kupewa huduma duni

trust me this is what is going to happen
 
Timu iende wachezaji wetu hawawezi kushanga shangaa kama wanavyokwenda ulaya. Ni vema wazungu wakashuk na kuishi kama sisi halafu tuone kama watashinda. Nini hiyo, haizidi mbu wa Muhimbili:smile-big:
 
Ubalozi wa Tz kule Delhi utoe ushauri nini kifanyike, nadhani wao wapo ktk nafasi nzuri ya kushauri.
 
Wewe huna lolote ila ubaguzi na chuki ndio inakuwasha. Hoja haihusiani na maslahi ya wanamichezo ila ni chuki ulionayao kwa wahindi waishio Tanzania. Wewe Tanzania yote umeona huo uchafu wa Wahindi huko mtaa wa zanaki tu ? Hao Wanamichezo hawana huduma bora au mazingira bora hapa Tanzania kuliko hayo watakayoyakuta huko India. Ukiwa na hoja halisi iwakilishe kwa njia ambayo itasaidia kutafuta uchambuzi na sio kuongeza chuki.
 
Wewe huna lolote ila ubaguzi na chuki ndio inakuwasha. Hoja haihusiani na maslahi ya wanamichezo ila ni chuki ulionayao kwa wahindi waishio Tanzania. Wewe Tanzania yote umeona huo uchafu wa Wahindi huko mtaa wa zanaki tu ? Hao Wanamichezo hawana huduma bora au mazingira bora hapa Tanzania kuliko hayo watakayoyakuta huko India. Ukiwa na hoja halisi iwakilishe kwa njia ambayo itasaidia kutafuta uchambuzi na sio kuongeza chuki.

Sijaona chuki hapo. Kama hio trip ya Commonwealth haina maslahi na inaweza kuhatarisha usalama wa wanamichezo wetu mi sioni kwanini wahusika wasiwe alerted mapema.
 
Back
Top Bottom