Chonde Chonde Mwigullu na Wake za Wenzio Igunga!

hivi ni huyu Mwigulu mate wangu pale Mazengo sec? Mwingulu unapoteza mwelekeo rafiki! You have to make a u turn!
 
khaaaa mwigulu unakula kavu mdogo wangu..usimfanyie hivi rajabu
 
Jamani mmesahau Kafumu alisemaje? alisema wana-igunga wamchague kama mkewe alivyompenda na kumchagua Kafumu awe mumewe! so wanaigunga wafanye vivyo hivyo, ni kweli wameanza na wake za watu wakimaliza watahamia kwa watoto wetu! CCM ni wazinzi anaepinga apinge tu but kiwango cha uzinzi CCM kipo juu sana, tukianza kuweka story za uzinzi wa CCM tutakimbiana! Nilishaanzisha thread ya Uzinzi wa Greenguard huko kambini kwao last year na jinsi wanavyoambukizana AIDS so sishangai hili ila nasikitika!
 
Nina uhakika asilimia 100 huyo aliechukua mke wa Rajabu atakua Dr. W. P. Slaa(Phd) kwani ndio desturi yake! Dr Slaa nakuonya uache mchezo huo wa kuvuvuzela wake za watu! Acha kabisa!
<br />
<br />
Mods,anasusubirin nini huyu mbwiga? Dr.Slaa anaingiaje humu hali tumejuzwa ni Mwigulu? Ban this man asap.
 
Nina uhakika asilimia 100 huyo aliechukua mke wa Rajabu atakua Dr. W. P. Slaa(Phd) kwani ndio desturi yake! Dr Slaa nakuonya uache mchezo huo wa kuvuvuzela wake za watu! Acha kabisa!
hivi ni lazima kuchangia kila thread???
 
ahahahaaa! mbwa kala mwanawe! aiii hili jibwa koko. raja upo mwigu kala tigo mwana, kama unabisha kahesabu mikunjo imesha pungua! duuu!
 
Back
Top Bottom