Chonde! Chonde! Mh.JK jibu hoja usifanye mzaha!

Hotuba yake jana ilikuwa na mapungufu mengi sana haswa suala la udini ambalo wameliongea sana kipindi cha kampeni.Kimsingi sioni Udini unatokea wapi maana yeye mwenyewe juzi ameteua wabunge watatu wote waislamu,sijui tulitafsiri vipi?.Suala hili wamelifanya ajenda ili kumpunguza makali Dr.Slaa na wanachama na mashabiki wa CHADEMA lakini wanapotosha umma na matokeo yake ni mwanzo wa kuchochea udini ambao kimsingi haupo.
Kauli ya kwamba Rais ni mmoja na wengine hawana mbadala nafikiri ni mwanzo wa kujenga mgogoro mpya mfano wa uliodumu Zanzibar kwa miaka kumi na tano.Tuna tatizo la msingi la katiba na Tume ya Uchaguzi ambayo kimamlaka inaingiliwa sana na watawala ambao ndio wateuzi wa viongozi wa tume hiyo.Hivyo wanaweza kujiona washindi kwa hivi sasa ila mbele ya safari hali inaweza kuwawia ngumu kutawala nchi hii.Ni suala la muda tu,tusubiri tuone

Kikwete kama humjui ni mtu mwenye mkakati mahususi kuhakikisha kuwa mazimio ya abuja nchi Nigeria yanakamilika kuipeleka Tanzania kwenye himaya ya dini anayoiamini ,nafurahi kuwa watanzania wengi wameliona wanatambua na tayarai wenye uzalendo na taifa hili wakiwemo waislam wenzake wanapinga hatua ya kikwete kuhubiri udini hawa ndiyo vyanzo vyote vya siri kuhusu mikakati inayosukwa dhidi ya kuingiza nchi na watu wake kwenye himaya ya kii-slam kama anabisha tutashusha ushahidi wote mbele ya wana jf
 
Hotuba yake jana ilikuwa na mapungufu mengi sana haswa suala la udini ambalo wameliongea sana kipindi cha kampeni.Kimsingi sioni Udini unatokea wapi maana yeye mwenyewe juzi ameteua wabunge watatu wote waislamu,sijui tulitafsiri vipi?.Suala hili wamelifanya ajenda ili kumpunguza makali Dr.Slaa na wanachama na mashabiki wa CHADEMA lakini wanapotosha umma na matokeo yake ni mwanzo wa kuchochea udini ambao kimsingi haupo.
Kauli ya kwamba Rais ni mmoja na wengine hawana mbadala nafikiri ni mwanzo wa kujenga mgogoro mpya mfano wa uliodumu Zanzibar kwa miaka kumi na tano.Tuna tatizo la msingi la katiba na Tume ya Uchaguzi ambayo kimamlaka inaingiliwa sana na watawala ambao ndio wateuzi wa viongozi wa tume hiyo.Hivyo wanaweza kujiona washindi kwa hivi sasa ila mbele ya safari hali inaweza kuwawia ngumu kutawala nchi hii.Ni suala la muda tu,tusubiri tuone
Mbinyo wa Chadema, taasisi nyingine kama jana nimeona watu wa haki za binadamu, viongozi wa dini, wafadhili wakikusanya nguvu za kudai katiba mpya lazima watabadilika tu maana si mnajua mkwere anavopenda nje akianza kusemwa ataogopa. subiri tuone
 
Usitegemee kwenye watu wa Tanzania ambao ni zaidi ya 40m wakukubali wote. Na hakuna duniani kiongozi ambae anakubaliwa na watu wake wote, haipo. Hakuna hoja hapo, mnalotaka la uchaguzi kurudiwa HALIPO jipangeni tu kwa 2015, Suala la katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi mahali pake ni kuonana na yeye kwa njia ya kiistaarabu ili apeleke mambo hayo bungeni, lakini so far hakuna hoja ndio maana anaendelea kutandika mzigo kama kawaida na si muda mrefu ataunda serikali. Yeye ndio RAIS na hakuna rais wa Tanzania mwingine zaidi yake.
Mwanaume yeyote akija kumbaka mama yako na ukashuhudia utamwita Baba? au utatafuta namna ya kumuadhibu? FIKIRIA, chadema wanachukua hatua sahihi
 
Back
Top Bottom