Chonde chonde kuanzia kesho Bishanga asipewe vishawishi

BISHANGA sijatoroka nimetoka kidogo, niko hapa nigeria kwenye foleni
ya kwenda kuonana na mtumishi wa Bwana ili aombee mahusiano yetu
niliona yanalegalega mno, nitarudi siku siyo nyingi zijazo.

Mbona na wewe sasa unamwaga kuku kwenye mtama mwingi? Na isitoshe unatonesha donda? Hivi kwa nini ulitoroka na houseboy?
 
sweetlady nilikuwa sijakuambia tu my baby kuwa BISHANGA
ndiye baba yako mzazi. Ilikuwa wakati ule wa vita ya nduli ndipo
tulipokutana naye kule mtukula mimi nilikuwa daktari wa jeshi na
BISHANGA alikuwa kamanda mkuu.

Ex,unakumbuka kipigo tulichompa nduli pale Lukaya? Na sherehe ya mapokezi viwanja vya mashujaa Bunazi waikumbuka?
 
BISHANGA sijatoroka nimetoka kidogo, niko hapa nigeria kwenye foleni
ya kwenda kuonana na mtumishi wa Bwana ili aombee mahusiano yetu
niliona yanalegalega mno, nitarudi siku siyo nyingi zijazo.

Usisahau kuja na yale maji tumpe @ asprin,maana kiukweli anahitaji maombi,halafu kamharibu na mdogo wake @ erickb52 kwa kumfundisha uzanga.
 
Back
Top Bottom