Chonde chonde kuanzia kesho Bishanga asipewe vishawishi

chereko chereko mama kapata baba,baba kapata mama si unaona babu DC na Lizzy wamekuja kuhudhuria we acha honeymoon katerero.kamati ya maandalizi namwachia Erickb52

Aiyaiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea,,,,,,,kwa heri ndugu zangu kuonana majaliwa,,,,,,,,
Si mimi namnukuu The secretary
(Source: twanga pepeta)
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha haaaaaa,
mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.

Baby TS nikuombe kitu? Ujue uhalali wa iftar upikiwe na mkeo,wajua bishanga sina mke,nitafuturu vipi?
Kesho naomba tufunge ndoa darling,au hutaki nipate thawabu? Pliiiiiiiiiiiiizzzzzz!!!! Mmmmmmmwwwwaaaa i love you!
 
Back
Top Bottom