Chonde chonde kuanzia kesho Bishanga asipewe vishawishi

Afu huyu mjamaa wa Bara , anaonekana ana mautamu flani eti eeh ?
Mbona wanamgombania sana?
Au lichawi nini ?
Ni maufundi tu pekee?
Staki kuamini !

Bishanga mhongaji sana afu na vi ndumbandumba anatumia sana,zaidi ya hapo hana lolote mkuu, huwa anahonga hadi anakosa hela ya kupandia daladala (Sorry Bishanga,ni upepo tu)
 
Baby TS nikuombe kitu? Ujue uhalali wa iftar upikiwe na mkeo,wajua bishanga sina mke,nitafuturu vipi?
Kesho naomba tufunge ndoa darling,au hutaki nipate thawabu? Pliiiiiiiiiiiiizzzzzz!!!! Mmmmmmmwwwwaaaa i love you!

Mwaaa kesho ndoa
 
Bishanga mhongaji sana afu na vi ndumbandumba anatumia sana,zaidi ya hapo hana lolote mkuu, huwa anahonga hadi anakosa hela ya kupandia daladala (Sorry Bishanga,ni upepo tu)
bishanga abashaija,zee la ma apartment masaki apande dala dala? Ushapanda x5 weye?
 
Bishanga mhongaji sana afu na vi ndumbandumba anatumia sana,zaidi ya hapo hana lolote mkuu, huwa anahonga hadi anakosa hela ya kupandia daladala (Sorry Bishanga,ni upepo tu)
heee Bishanga kumbe ndumba unatumia!!??
 
kesho baada ya swala mbele ya bishangs na dad wako itakuwa hivi:
sheikh: bishanga ,kwa mahari ya dola laki moja unampokea TS binti Babu DC awe mmeo.
Bishanga: nakubali (huku nimemshika Babu dc mkono).
Inarudiwa mara tatu.

chereko chereko mama kapata baba,baba kapata mama si unaona babu DC na Lizzy wamekuja kuhudhuria we acha honeymoon katerero.kamati ya maandalizi namwachia Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mfungo sio kesho bhana kesho vunja sufuria, utakuwa na nani akanana!
 
Back
Top Bottom