Elections 2010 Chonde chonde Dr. Slaa usiende Maswa Mashariki.

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Kufuatia uamuzi wa chadema kumwandikia barua ya onyo Mbunge wa Maswa Mashariki John Shibuda pia mkumtishia kumvua uanachama mbunge huyo, ndani ya wiki hii kumekua na mzagao wa maneno kwamba chadema wanajipanga juu ya uchaguzi mdogo na wanamwandaa dr. Slaa kama mgombea mbadala ktk jimbo hilo. Binafsi nimeshitushwa na kushangazwa sana kwa hili. Kwa kuitakia mema chadema na katibu mkuu wake, natumia nafasi hii kumshauri dr. Kuondoa wazo hilo la kugombea ktk jimbo hilo kwani itamweka ktk upande ambao sio stahili yake, hili swala litajenga skendo na litapunguza sifa kwa Dr. Slaa. Chonde chonde plz!
 
kwa kweli kuna watu wamezagaza maneno na kuanza kupiga kampeni kuwa dr. Slaa anakuja maswa magharibi vijana hizo ni habari za uchochezi kutaka kumchafua slaa.
 
Mimi ni CCM ila nitasikitika sana Slaa akifanya mambo kama ya mrema temeke....We need you at the Executive level,you are still influential in Tz politics,don't do that plz.
 
kwa kweli kuna watu wamezagaza maneno na kuanza kupiga kampeni kuwa dr. Slaa anakuja maswa magharibi vijana hizo ni habari za uchochezi kutaka kumchafua slaa.
Hizi habari zimetokea wapi? Mwanzo wake ni upi?
 
Mimi ni CCM ila nitasikitika sana Slaa akifanya mambo kama ya mrema temeke....We need you at the Executive level,you are still influential in Tz politics,don't do that plz.
Huwa napingana na wewe kobello sana, bt hapa nakuunga mkono bt mimi sio ccm!
 
Hawa waliozizusha hizi habari za dk.slaa na maswa/igunga wanamalengo gani?
 
Back
Top Bottom