Chombo cha Anga cha tua kwa dharula Bagamoyo!!

ataungana na ramadhani aliyekiri hadharani kuwa kweli alikuwa akitoka safari za mbali kwa njia iyo ila rada haikuwahi kumsoma kwa kuwa chombo chake ni cha kisasa, isingekuwa ni ule msala wa kumla mtoto kule tabata kwa bibi.
 
jamani ile kifaa cha kurekodi mwenendo wa ndege cjui "black box" kimepatikana au hamna historia ktk chombo cha uyu Vasco Da Gama?
 
huyu jamaa sio mchawi kabisaaaa, ni macho au pengo wa pale A.M Bar katikati ya MK analalaga kwenye magari pale karibu na Baa ya Machapta karibu na Gazeti la mwanaHarisi muulize kubenea anamjua na wengi tunamjua, analewa sana na kuvua ni ulabu tu huwa analala baa na ukiongea naye utamjua kuwa hamnazo anapenda sana kucheza pull na kuchekesha watu
 
Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.

Yani wewe umenichekesha sina mbavu. Yaani kitu unachosema kinawezekana ila kwa mazingira haya......... nina wasiwasi
 
Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.

Kweli kabisa watu wengi ni washirikina, ushauri wako unafaa, anaweza pia ni mtu amefumaniwa akafanikiwa kutoroka, kama ni mgonjwa Mungu amjalie apone.
 
Nilikuwa nasikiliza Power Breakfast juzi i think when they were discussing the guy,
According to them; huyo mtu - kwa jina la MACHO, alikutwa mida ya takriban saa 9 hivi usiku akiwa katika umbile la NYANI!
alikuwa anahangaika tu katika eneo hilo akijaribu kuparamia geti/ukuta wa nyumba iliyokuwa karibu hapo,
sasa huyo jamaa aliyemuona wakati akiendelea kushangaa akawa amewaamsha na majirani zake na kadri muda ulivyokuwa unazidi kusogea taratibu alikuwa akibadilika na kurudia umbile la kibinadamu!

Mimi sifaham ukweli ya hii story, but Bonge - as he was explaining to his colleagues alikuwa anamhoji jamaa ambaye alimkuta mshkaji hapo akawa anasema kuwa ilikuwa kwenye mida ya saa 11 hivi ndio bwana Macho alikuwa amekwisha transform kabisa na kurudia ubinadam na ndipo walipoweza kumtambua,

but at first hakuwa anaongea maneno ya kueleweka - lugha ambayo wote walikuwa hawaisikii, ila baadae he started to make sense na walipomuuliza ni nini kilitokea, akasema the last thing he remembers ni kuwa alikuja jamaa na bajaj akamwambia aende akamfanyie kazi - alitaja kazi yake nimesahau ni nini - but ni fundi wa vitu gani sijui, but from the moment yupo kwenye bajaj hakumbbuki tena kilichoendelea pale zaidi ya kujikuta kwenye hali ile.... so majirani hao wakamchukua kumpeleka kituo cha polisi, from there i dont know what happened.

NB: Sifaham ukweli wa hii story, nimeilezea kama nilivyosikia katika POWER BREAKFAST juzi asubuhi nafikiri.
 
My God! hiyo mimacho ya uchawi mtupu... kumbe mchawi utamjua tu, mimacxho imetokezaaaaaaaaaa.
 
Mastermind hata na mimi nilimsikia bonge kwenye power breakfast. Ndiye aliyegeuka kutoka nyani kwenda binaadamu.

Naona hayo macho yake siyo ya kawaida jee ndivyo alivyomuumba Mola wake au huwa katika hali ya kawaida baadhi ya siku?
 
Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea

Nami nilikuwa najiuliza mabaki ya ndege iliyo anguka yako wapi? Pia "Black Box" haionekani hapo!
 
Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea

hahhahaaa:nerd::nerd:
 
Waulizeni watu wa Bombinyumbi, kuna CD moja imerekodiwa: wachawi wanahojiwa na RPC Kamhanda chini ya "bibichindimbo" Siyo masihara, WANGA WAPO JAMANI; UKIMTAIM NI KUMTIA KIBERITI TU, KWA SABABU YEYE AKIKUTAIMU ANAWEZA KUKUFANYA KITU MBAYA SANA, HAWANA AIBU WALA UTU!
 
Back
Top Bottom