Chombo cha Anga cha tua kwa dharula Bagamoyo!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
chombo.jpg
Chombo kimetua kwa dharula huko Bagamoyo kwa sababu ya hali ya hewa!!
 
kakakiiza umeipata wapi hii!duh mbona hatari sana ni mbongo huyu?mambo haya bado yapo?inasikitisha sana!
 
Ndio maana nchi haiendelei kwa kuendekeza ushirikina. Tunawateketeza kwa moto wa Damu ya Yesu.
 
hivi hawa jamaa huwa haiwezekani kusafiri wakiwa wamevaa nguo?maana naona hapo yupo uchi wa mnyama anatudharirisha wanaume kwa hao wakina mama na angekua wa kike je wanaume wangejaa kumuangalia hivyo na watoto pia!!!apelekwe kwa babu huyo akapate kikombe!
 
Huyu jamaa anaitwa MACHO anakaa Mwananyamala.....na hapo ni karibu na MANGO imetokea leo usiku
 
Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.
 
Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea
 
duh!hiii ni noma jamaaa kama alivyozaliwa
:tape::help::disapointed::love::rip::noidea::A S 2152:

mgombezi nakusapport kwa asilimia 100 kuna bibi mmoja alikuwa anakaa ilala alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya akili kwa mda mrefu sana na alikuwa akiishi na mwanawe wa kiume mkubwa tu amabye amshaoa wenyewe walikuwa wanajitahidi sana kumfungia ndani kunasiku akapata upenyo akatoroka tena kama alivyozaliwa, walimsaka for two days mpaka wakakata tamaa, after that ndo wakapata taarifa kuwa yupo kituo cha polisi alikamatwa na wananchi wenye hasira wakampa na kipigo wakidhani ni mchawi...yaani inauma sana pata picha ndo mzazi wako
Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.
 
police naomba waintervene huyu ni mgonjwa wa akili kabla hajashushiwa kipigo.
 
Back
Top Bottom