chochote unachojua kuhusu Wasambaa

Ukabila unaanza polepole kujiingiza Jf, walianza wachaga, wapare wakaiga, wahaya bila haya nao wakabandika yao, leo wasambaa, kesho wagogo, keshokutwa waha...
 
hawa mi niwatani wangu, ruksa kuwachafua.
''Hawa jamaa kila mwenye jina linalo anza na she ni ndugu yao, mpaka shetani wanaweza dai ni ndugu yao' by the late Mr Ebo.'
 
Ukabila unaanza polepole kujiingiza Jf, walianza wachaga, wapare wakaiga, wahaya bila haya nao wakabandika yao, leo wasambaa, kesho wagogo, keshokutwa waha...
kweli
walianza wachaga kuchagiza wakaja wapare kuparesha wahaya wasio na haya wakabandika sasa wasambaa wanasambaza
 
Ukabila unaanza polepole kujiingiza Jf, walianza wachaga, wapare wakaiga, wahaya bila haya nao wakabandika yao, leo wasambaa, kesho wagogo, keshokutwa waha...

mbona hawakusaport wasambaa wenzako zu uko mwenyewe tu na na makamba mtandao mzima.

umenikumbusha stori moja msambaa mmoja aliolewa na mzungu sasa siku moja akafiwa na baba yake akaenda na yule mzungu kwenye mazishi walipofika mama akaona watu wamekusanyika ndio ikaclik kweli kuwa baba yake amekua akaanza kulia ohoo tate nane hoo tate nane basi mungu akajua ndio wanatakiwa kufanya hivyo wakiwa wanaingia nyumba naye akawa natembea huku anasema kwa lafudhi ya kidhungu ohoo tate nane ohoo tate nane
 
Back
Top Bottom