ChitChat...Mchana Kelele Nyingiii..!!!, Usiku Mwalala Saa 5 Kasoro..!!??? Heee!!!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,948
32,208
Mchana kama tupo kwenye Kitchen Party(wanawake) au Begi Party(wanaume),
ikifika usiku mwalala saa 5 kasoro??
Kweli ngoma ya kitoto haikeshi.
Nitaugeuza usiku uwe mchana,na kuta zenu ziwe vioo tuyaone.
 
We Madame B, nani kakwambia tumelala,mi napiga cha pili hapa kwa Mama V afu naendelea chit chat! hapa hadi mornie!
 
Duh!! Haya Ndugu, faidi vyako. Mie nipo nataka kulala kuna bar hapa jirani naona wao ndo kumekupa na huyu mume wangu kipenzi watu8 kasafiri basi nipo nipo tu!!
 
Last edited by a moderator:

Jamani ndo mana mnakimbiwa na wake zenu.
Muwe mnapumzikaga,
khaa!!!
 
Hoooooh
mwaaaaah

Mchana kama tupo kwenye Kitchen Party(wanawake) au Begi Party(wanaume),
ikifika usiku mwalala saa 5 kasoro??
Kweli ngoma ya kitoto haikeshi.
Nitaugeuza usiku uwe mchana,na kuta zenu ziwe vioo tuyaone.
 
Duh!! Haya Ndugu, faidi vyako. Mie nipo nataka kulala kuna bar hapa jirani naona wao ndo kumekupa na huyu mume wangu kipenzi watu8 kasafiri basi nipo nipo tu!!

Pole shosti.
Kwani huna hata kidumu?
 
Last edited by a moderator:
Tena huyo mida hii yuko Bunju kwa Mama Njopeka Kilabuni,
anauvuta ugoro huku anashushia na Chang'aa.

me nilidhani babu ni mtu wa sigara kubwa na mvinyo za ukweli kumbe ni mtu wa chang'aa basi na pingu bila shaka ana piga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom