Chit - Chat Vs Siasa

kwa kweli kabla sijaingia chit chat huwa naswitch off kichwa na kuswich ON mkia.

Laa sana.

Hahahahahaaaaa!!! Hii inaingia kwenye records
Kongosho, unaswitch off kichwa, unaswitch on mkia.
Kudadadeki, me love this kwasababu hapa ulikiwa bado kuswitch off kichwa.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza: Ina maana Mod wetu RR ni ametuzidi wengine kwa u-bongo lala mpaka akatunukiwa u-mod?
hat kuna wizara nyingine ukichaguliwa kyuwa waziri unakuwa kama uko benchi vile.....
yan wewe ndio bongolala kabisa coz uko chit chat na unawaponda wanachit chat...umesahau kuwa kuna muda wa siasa na story...think big
hakuan muda wa story wewe bongolala.....ndio maana mijitu inakuja kwenu na kuwaibia mali zenu mnabaki kukenua meno na kukuza vitambi.....endelea hivyo hivhyo BTW big up arifu

Yo Yo tuombe radhi wadau wa chit chat!
arifu kama unaona nikomba radhi basi hutakuwa bongolala basi naomba radhi.....
 
ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....

Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, ndo hivyo
mie napenda sana chit chat.

Hahahahahaaaaa!!! Hii inaingia kwenye records
Kongosho, unaswitch off kichwa, unaswitch on mkia.
Kudadadeki, me love this kwasababu hapa ulikiwa bado kuswitch off kichwa.
 
Last edited by a moderator:
Wee Bishanga, hebu achana na Yo Yo, anaishi kwenye dunia yake anayoijua mwenyewe.

Yuko kama Dexter wa kwenye Dexter's Laboeatory kila siku ana invent God knows what ambavyo wala havitusaidii, acha sie akina Dedee tuendelee kufurahia.

Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wee Bishanga, hebu achana na Yo Yo, anaishi kwenye dunia yake anayoijua mwenyewe.

Yuko kama Dexter wa kwenye Dexter's Laboeatory kila siku ana invent God knows what ambavyo wala havitusaidii, acha sie akina Dedee tuendelee kufurahia.

Wadau wa chit chat i can tell you wengi wao ni majinius na ndo mana wanakuja chi chat kutuliza bongo zisi ovahiti.
 
Last edited by a moderator:
Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.

Yo Yo ni kati ya memberz ambao wanadharaulika ktk JF kutokana na ulimbukeni wake. Anaona sifa kupigwa ban ili ajenge visasi na Mod Paw. Anajitafutia umaarufu wa kijinga.

Anadhan kuwa watu wote ni vilaza kama alvyo yeye. Anachojua yeye ni kuingia katika Jukwaa la Siasa na kuandika urojo unaomsababishia ban.
Yuko wapi Invisible aje amshughulikie huyo Yo Yo sijui yaya? Kwa nini anawakashfu members?
 
Last edited by a moderator:
Members wengi waliopo Chit Chat ni Premium Members(Wale wanaoichangia na kutoa michango mbalimbali ili JF isonge mbele) sasa wewe Yo Yo daily unaandka urojo hata huchangii. Unajaza server tu.
 
Last edited by a moderator:
Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.

Ila mkuu wewe ni Mmbea, manake hata JF Udaku imekufanya chanzo chake cha kuaminika kwa habari moto moto... hehehe
 
Yo Yo ni kati ya memberz ambao wanadharaulika ktk JF kutokana na ulimbukeni wake. Anaona sifa kupigwa ban ili ajenge visasi na Mod Paw. Anajitafutia umaarufu wa kijinga.
Arifu.....Lisa binti yangu ananiambia nikuambie uwe unatumia akili kuandika na kufikiria....
Anadhan kuwa watu wote ni vilaza kama alvyo yeye. Anachojua yeye ni kuingia katika Jukwaa la Siasa na kuandika urojo unaomsababishia ban
ha! ha! ha! ha! ha! arifu unatafuta umaarufu JF??? jenga jina kwa Mungu ili upate makao mema mbinguni......
 
kwa kweli kabla sijaingia chit chat huwa naswitch off kichwa na kuswich ON mkia.

Laa sana.

Duh,, sasa kama ndiyo hivyo basi wewe kichwa yako haina muda inakuwa ON manake masaa yote uko Chiti Chati.. Wewe na Bishanga Abashaija...
 
Members wengi waliopo Chit Chat ni Premium Members(Wale wanaoichangia na kutoa michango mbalimbali ili JF isonge mbele) sasa wewe Yo Yo daily unaandka urojo hata huchangii. Unajaza server tu.
Lisa analia aisee yaaani machozi yanamtoka kila akisoma post yako analia.....analia akikuona huu mtu mzima alafu unaongea pumba...yaani aisee ungemuona ungemuonea huruma....arifu nakuomba usiandike tena pumba aisee Lisa akisoma analia sana....anasikitika muno muno.....muonee huruma binti yangu....
 
Aisee........kumbe bishanga ni mmbea,mvivu,bongolala na sifai kwenye jamii?
Yo Yo ahsante kwa kunifungua macho,kumbe Asprin klorokwini The Finest Pet Cash Kipipi FirstLady1 Lizzy Mwali Erickb52 sweetlady Rejao Cantalisia TANMO BabuDC Eiyer.......just to mention a few,wote hawa ni wavivu,bongolala,wambea na hawafai kwenye jamii?
Ngoja niwaite waje wakusikilize mkuu.
Bishanga mie ndio nshaitikia wito,
Huyu jamaa ni wa kusamehe tu bure kwan tayari naye ameshajihusisha kwa kuingia humu na kukoment zaidi ya mara moja!
Hata hivyo ni sehemu ya yeye kupunguza stress ili akirudi kule awe fiti,

BTW,jamii yake hainifai ndio maana sipo huko niko huku kwenye jamii inayonifaa,
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa chit chat i can tell you wengi wao ni majinius na ndo mana wanakuja chi chat kutuliza bongo zisi ovahiti.

Bishanga mwambie wengine hapa ni wabunge watarajiwa, tukichoshwa kwenye si ha sa tunakuja chit chat kujifuta machozi.
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei umeniacha hoi vile umekubali kutokwa mapovu kwasababu ya Yo Yo...

Ina mana kweli kabisa humjui Yo Yo kuwa ni mchokozi aliyeshindikana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom