Chit-Chat Full time Job...iVi Mnajuana ama?

Mi sio Mdau Kiviiile wa JF ni vile tu nna Interest kadhaa humu hata ni kaactivate ID
Sasa katika Forums Zote lakini hii Forum yenu Kiboko ...huweZ ku intervEne kwenye topic nyingi coz Hutaelewa hata Ukielewa contents ni Personal...

Sa ndio nauliza mnajuana ama ndio JF long time kitamboo ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Nyimbo za ngomani hazifanyiwi rehearsal, mtu unajifunzia hapo hapo ngomani!
 
hiyo kitu umeweka hapo imeugusa mtima wangu! Tatizo hapo Kili time kuna wahudumu wazee sana. Njoo A-towners karibu na Lenana!

Yu sii.. hata bosi wao sijui alikuwa anachinjwa akaponyoka maana hilo ngeu la shingoni... Filipo wapi leo tujimwage?? Nadhani tuanze tu weekend leo kama hauko bize sana.: Smash:
 
Last edited by a moderator:

nilikuwa bize sana na mpira! Nimeanza na Jkt Oljoro vs Coast Union, halafu Yanga na Simba, kisha Arsenal. I hope tutaonana this wk end!
 
Back
Top Bottom