Chit-Chat Full time Job...iVi Mnajuana ama?

Kumbe watu hawajui kuwa kuna maisha zaidi ya JF?
Naomba kutoa taarifa kwa uma kuw charminglady jina lake lamfit vizuri kabisa.......ila mama watoto wangu sweetlady naona usweet wazidi ongezeka kila siku

asante my shem, thou nimeambiwa na my sister kuwa we co shem wangu tena. bt me ntaendelea kukuheshimu kama shem make ushem huwa haufi
 
Last edited by a moderator:
umemsahau Mentor akiwa dady yake eversmiling,catherine mkewe mentor,beibe nasty akiwa aunt na wifi yake catherine,arabela akiwa dada yake eversmiling zubedayo miss u shem cjui ban bado haijaisha

my sis shem wako akusabahi sana amesema atarudi s0on
 
He! Yamekuwa hayo tena? Kwaheri!

Kwema lakin jombaa, karibu basi Kili time, pale kwa shabani, leo jioni, tupate hii mambo

Ndovu_Special_Malt.png
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea Ukaka wa Hiyari...Familia imebarikiwa Haswaaaa...cousins wa kutoshaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Uwe kaka kweli usije kichwa kichwa! Kuna wake za watu humu hasa babu Asprin peke yake ana mabibi zetu wanne na bado anaendelea kuongeza wake. Ukiingia kwenye anga zake anakusha kishipa!
 
Last edited by a moderator:
charminglady nimegundua kwamba nilivamia jukwaa bila kukaribishwa!!@Erickb52 Arushaone @Fillipo blackwoman niombeeni msamaha jukwaani!!
Kwa heshima,Hodiiii!!! Naombeni japo udada wa hiari!!!

marejesho , huhitaji kuomba msamaha, nilisha kutambulisha kwa shemeji zako na wifi zako wote. Jimwage tu humu. Wakiku"tokea" waambie unae Filipo . Feel free dear!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom