Chini ya miaka 60 wewe si mjane

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Mjane mdgo akifiliwa anafaa aolewe
mjane asiefikisha miaka 60 sharti awe na mwenzie wa kumliwaza
yawezekana we ni katka hawa walio chini ya miaka 60 sio maneno yangu ni neno la bwana mungu akakupatie mtu anaefaa kukuliwaza tena najua mapenzi ya mwanzo si kama ya huyu utakaekuwa nae lakini neno lamungu linasema kukueousha na dhambi si vibaya mjane akawa na wa kumliwaza ....
Nawapa pole wajane mungu awape nguvu ya kuchagua mume mwema najua wengi sasa si wema lkn kwa hilo ukapate kupta hata bora ya
 
I tim 5:9
msikate tamaa wajane mungu anawapenda na anaitaji muwe na wenza...mapema iwezekanavyo huzuni na maumivu si mapenzi ya mungu daima
 
Back
Top Bottom