Chini ni national housing juu yake ni india housing

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Hivi hawa jamaa zetu wa msajiri wa nyumba, huwa wanatoa vibali vya ujenzi wa vijumba vinavyooteshwa juu ya nyumba za shirika au vile vijumba vinavyooteshwa penmbeni maana inachefua kuona vijumba vya mabati tupu au magunia vikioteshwa na hawa jamaa zetu, na je huwa vinalipiwa?
 
Back
Top Bottom