Chinga balaa

Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
1,633
Wamakonde wa sehemu fulani walikuwa wanaogopa sana maiti.Na hivyo akifa mtu hawamziki na wanahama kabisa kijiji. Lakini siku moja ikabidi kabla ya kuhama kijiji kumwambia maiti kuwa: Chacha chikiliza wewe marehemu,chichi tunahama tunakwenda kijiji cha mbali.Akija huyo kifo uchimwambie kama tumehama,ila mwambie kijiji kizima ulibaki peke yako asije akatufuata huko tunakoenda. Baaa
 
ahaa! kule alikuwepo m1 aliyekuwa akiitwa babu Sakarani. Nilipewa historia yake kuwa alikimbiwa na wenzake baada kuumwa saaana ila ule haukuwa mwisho wake kwani mwisho alipoa na kuishi muda mrefu kidogo.
Kumbe hiyo ndo sababu ya kukimbiana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom