Chinese scholarship 2016-2015 information

Realty16

Member
Jan 20, 2016
22
7
Habari wana JF.
Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme sana ila lengo langu ni kutoa taarifa tu.
Kuna ufadhili ambao serikali ya china unautoa kila mwaka ukiachana na ule unaopitia serikalini na kutangazwa na sekta mbali mbali kama wizara ya elimu au wizara ya nishati na madini ambao ufadhili unatokea serikali ya china, ipo njia ya mtu binafsi kuomba ufadhili moja kwa moja kupitia chuo husika kilichopo Uchina ambacho kina uhusiano na sekta inayotoa mikopo huku china (China scholarship council). nimebainisha hapa chini mpangilio wa kuomba huu udhanimi.
1) sign up at [www.csc.edu.cn/laihua/noticeen.html]
2) jaza fomu itakayokuja na kisha ipakue (download)
3) Fanya maombi / application kwenda chuo unachokitaka ( kwenye mtandao/website wa chuo) sawa na ulichojaza awali (1) kisha ambatanisha na fomu uliyopakua awali (download)
4) Endelea na kazi zako huku ukisubiri kama utabahatika . ( waswahili wanasema itika wito kataa neno)

DEADLINE: march 2016 ( mwishoni )

Note: Wenye asilimia kubwa ya kupata niwale watakaoomba MASTER'S au PhD's kulingana na utafiti wa asilimia 95 ya waliopo hivyo kwa bachelor ni ngumu sana kupata labda uwe unajisomesha kwa pesa zako mwenyewe)
kwa msaada zaidi:[kbongole@yahoo.com]
 
baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kuomba moja kwa moja ni hivi hapa http://www.csc.edu.cn/laihua/universityen.aspx
list ya vyuo.pita katika vyuo vilivyo na red star * hivyo vyote vina accept Csc scholarship
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=36
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=181
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=163
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=205
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=12
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=154
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=241
http://www.csc.edu.cn/laihua/universityprogramsen.aspx?collegeId=296
 
scholarship za china
1.bilateral schilarship(hii kwa Tanzania unapitia wizara ya elimu)
2.csc scholarship university program(hii unaomba chuo husika moja kwa moja. tembelea web ya chuo hisika itakupa maelekezo yote. pia hapa utahitajika kujaza fomu ya csc online)
3.local government municiple scholarship(hizi hutolewa na manispaa ya miji kupitia vyuoni mfano :beijing municiple government scholarship, hubei province municiple government scholarship na nyingine nyingi)
4.presidential scholarship(hii ni udhamimi wa raisi wa china ila unapitia vyuoni .vyuo maalum vimeteuliwa.pita web ya chuo husika na fuata maelekezo)
5.MOFCOM scholarship(hii unaomba kupitia ubalozi wa china uliopo tanzania, inadhaminiwa na wizara ya biashara ya china)
6.companies scholarship(makampuni mbali mbali hutoa udhamini kupitia vyuoni) pendelea kutembelea website ya vyuo na soma matangazo kisha omba.

Invisible Paw Moderator na wengine tunaomba muiweke sticky thread hii ili iwe reference kwa kila atakaetaka kuomba scholarship china.
watanzania tuditapeliwe na madalali. hivi vitu unaweza kuvifanya mwenyewe ukiwa tanzania na ukapata scholarship bila zengwe. tushirikiane na mleta uzi na wengineo wenye ANY INFO itakayowawezesha watanzania wenzetu kupiga hatua ya kielimu
 
Habari wana JF.
Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme sana ila lengo langu ni kutoa taarifa tu.
Kuna ufadhili ambao serikali ya china unautoa kila mwaka ukiachana na ule unaopitia serikalini na kutangazwa na sekta mbali mbali kama wizara ya elimu au wizara ya nishati na madini ambao ufadhili unatokea serikali ya china, ipo njia ya mtu binafsi kuomba ufadhili moja kwa moja kupitia chuo husika kilichopo Uchina ambacho kina uhusiano na sekta inayotoa mikopo huku china (China scholarship council). nimebainisha hapa chini mpangilio wa kuomba huu udhanimi.
1) sign up at [www.csc.edu.cn/laihua/noticeen.html]
2) jaza fomu itakayokuja na kisha ipakue (download)
3) Fanya maombi / application kwenda chuo unachokitaka ( kwenye mtandao/website wa chuo) sawa na ulichojaza awali (1) kisha ambatanisha na fomu uliyopakua awali (download)
4) Endelea na kazi zako huku ukisubiri kama utabahatika . ( waswahili wanasema itika wito kataa neno)

DEADLINE: march 2016 ( mwishoni )

Note: Wenye asilimia kubwa ya kupata niwale watakaoomba MASTER'S au PhD's kulingana na utafiti wa asilimia 95 ya waliopo hivyo kwa bachelor ni ngumu sana kupata labda uwe unajisomesha kwa pesa zako mwenyewe)
kwa msaada zaidi:[kbongole@yahoo.com]
Sasa mkuu ukisha download hiyo form uliyoijaza csc ina maana unatakiwa uitume hiyo kwenda kwa agency wako ambaye ni hiyo university kwa hiyo hapo inakuwaje?
 
Ngoja nami nijaribu bahati yangu.nashukuru mleta mada ntakutafuta pale ntakapokwama
 
Halafu mtoa mada hivi ni lazima sana kufanya hii mitihani ya english proficiency kabla ya kufanya application?
kwa china, wanafunzi wa Tanzania ambao wamefanya masomo yao kwa lugha ya kingereza hawaguswi na hicho kipengele. unachotakiwa kufanya wakati unajaza fomu pale kwenye NATIVE LANGUAGE andika ENGLISH. inatosha.
 
Sasa mkuu ukisha download hiyo form uliyoijaza csc ina maana unatakiwa uitume hiyo kwenda kwa agency wako ambaye ni hiyo university kwa hiyo hapo inakuwaje?
ndio unatakiwa utume nakala ngumu(hard copy) ya hiyo fomu pamoja na suporting documents zote. tuma kwa EMS/DHL nk
 
kwa china, wanafunzi wa Tanzania ambao wamefanya masomo yao kwa lugha ya kingereza hawaguswi na hicho kipengele. unachotakiwa kufanya wakati unajaza fomu pale kwenye NATIVE LANGUAGE andika ENGLISH. inatosha.
Kuna chuo nataka niapply wao wana demand either hiyo mitihani au certificate of medium of instruction. Ila nimeona hiyo certificate of medium of instruction ni rahisi kupata maana ni kuandikiwa barua na chuo ulichosoma kuonesha kwamba english ndo ilikuwa medium of instruction, sasa mimi wasiwasi wangu ni kwamba sijui kama ntapata hii barua kwenye vyuo vyetu hivi.
 
Unapata mkuu....ukienda chuoni kwako unawaambia....unataka barua inayoonyesha masomo ulisomo kwa lugha ya kiingereza.
 
Back
Top Bottom