Chinese mobile.

TEGEMEA

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
369
56
Habari wana jf.nawaomba mwenye kuifahamu simu ya kichina(moderate price),inayo weza kusurf internet i.e operamin,google,uc brouser.etc.anijuze na anitajie jina la hiyo simu.maana nimeiona TECNO moja hivi inajitahidi.
 
weye mwenyewe hiyo tecno inayojitahidi hujaitaja jina. sisi jee?
kwa ufupi simu nyingi za kichina zinakubali net. ukiweza kueka configuration zake tu. but zinakuwa na processor ndogo hivyo zinafanya mambo taratibu mno, kwa mfano unafungua operamini unaisubiri masekunde kadhaa. kwa vile bei yake ni rahisi. try TECNO HD SERIES. ZINA processor yenye nguvu. ila bei yake si kama wachina wenzake
 
Mimi natumia TECNO 0707,ninayo mwaka na nusu......net ni mwendo mdundo,natesa na UC BROWSER mbaya,free proxy kama kawa,kwa kweli cjawah kupenda simu zaidi ya hii
 
mimi natumia tecno 0707,ninayo mwaka na nusu......net ni mwendo mdundo,natesa na uc browser mbaya,free proxy kama kawa,kwa kweli cjawah kupenda simu zaidi ya hii

mkuu ni nipatie hizo free proxy af zina tinga natandao upi??
 
NINAYO HOUSING (Plastic Cover) za TECHNO MOBILE.
NINAYO "LOT" ya models mbli mbli.
Bei 150,000 kwa LOT nzima !
PM kama intrsted
 
Back
Top Bottom