China's No.1 Pharmacy University is offering Pharmacy speciality degrees in English

ones

New Member
May 19, 2010
1
0
Kwa wale wadau wanaotaka kusaka Nondoz China,kuna chuo No.1 kwenye nyanja ya Pharmacy kwa mda mrefu sasa China,kinaitwa China Pharmaceutical University kinatoa kozi za Bachelor of Pharmacy(4yrs),kozi 29 za Master's degree(3yrs) na kozi 24 za Doctoral degree(3yrs).Hizi kozi zote zinafundishwa kwa lugha ya kiingereza.

Application deadline: June,25th
Registration:September,2010
Fees(Kwa mwaka)
Registration:Rmb 400
Accomodation:Rmb 10800
Insurance:Rmb 600
Tuition fee(Bachelor's degree):Rmb 28000
Tuition fee (Master's degree):Rmb 32000
Tuition fee (Doctoral degree):Rmb 36000
Kwa mawasiliano zaidi tuma email kwenda cpu_admission@yahoo.com

NB:Chuo hakitoi scholarship kwa kozi zinazofundishwa kwa lugha ya kiingereza.
 
Back
Top Bottom