China yakubaliana na Sudan kuwajengea kinu cha kwanza cha Nyuklia

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
nuclear.jpg

Shirika la Taifa la Nishati ya Nyuklia la China limekubaliana na Sudan kuhusu mpango wao wa kuijengea nchi hiyo Kinu cha kwanza cha Nyuklia katika mkataba uliosainiwa Jumatatu kati ya nchi hizo wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Utawala wa Nishati ya China, Nur Bekri.

Shirika hilo pia limesaini makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Rasilimali maji na umeme ya Sudan.

Hii ni miongoni mwa harakati za China kutafuta kukubalika zaidi kwa teknolojia yao ya kiatomiki na kuhamasisha dunia kutumia nishati hiyo safi. Mwenyekiti wa Shirika hilo Sun Qin alisema nchi hiyo inategemea kusafirisha kiasi cha Yuniti 30 za nyuklia zitakazozalishwa nchini kwao hadi kufika mwaka 2030.

China inaweza kutoa msaada wa kiteknolojia na kifedha ili kuendeleza miradi ya Nyuklia.

Shirika hilo lina mpango wa kujenga vinu vya Nyuklia katika nchi za Pakistan na Argentina na baadae nchini Kenya.

Sudan inatarajia kuanza kujenga kinu hicho cha kwanza cha nyuklia mwaka 2021 na kuanza kukiendesha kibiashara ifikapo 2027 ambapo inategemea kujenga vinu viwili vya megawati 600 kila kimoja ambavyo vitasaidia kufikia mahitaji yake ya megawati 8,500 ifikapo 2031.

==================

Sudan and China signed, Monday, an agreement to construct the first nuclear powerhouse in the east African country.

The framework agreement to develop peaceful uses of nuclear energy in Sudan was inked following the first meeting of the China-Sudan Joint Energy Cooperation Commission in Khartoum.

In December 2012, Sudan announced an agreement with China to build a research nuclear reactor, with the approval of the International Atomic Energy Agency.

According to a government official at that time, the reactor aimed to conduct research and scientific applications, and to encourage the use of atomic energy. Sudan carries out 10 projects with the help of the Arab Atomic Energy Agency.

The Sudanese Ministry of Water Resources and Electricity has started the actual preparations for producing power using the nuclear energy in cooperation with the Sudanese Atomic Energy Agency and the International Atomic Energy Agency, as the first nuclear plant is expected to be built in 2020.

The visiting Chinese delegation for the joint energy cooperation meetings is chaired by Nur Bekri, Director of the Chinese National Energy Administration, while the Sudanese side is chaired by the Minister of Finance Badr al-Din Mahmoud.

Speaking after the signing of the framework agreement, Mahmoud said the two sides agreed to discuss the problems that energy production is facing in Sudan and to reach effective solutions.

He added that they will also work to solve challenges facing the new projects, especially Al-Foula electricity plan and the transmission network in South Kordofan.

The government says the lack of funds and economic sanctions impede its efforts to extend electricity service and cover areas in Darfur and South Kordofan.

President Omer al-Bashir met the Chinese delegation on Monday, and discussed bilateral ties and means of bolstering them further.

Al-Bashir directed following the meeting to develop cooperation with China in areas of economy and trade, and expand it in fields of oil, gas, renewed energy, agricultural and industrial investment and infrastructure, said a statement issued following the meeting.

China has invested more than $20 billion in Sudan mostly in the oil sector during the past two decades. Beijing provides low-interest loans and weapons transfers in return for oil.

Minister Mahmoud said they reached an agreement with China to strengthen oil capabilities, to build new facilities and additional oil exportation ports on Red Sea.

Also, they agreed that Chinese companies will explore oil in new blocks, and increase the production of existing fields, besides an agreement for gas exploration and production.

The minister announced that the Chinese oil investments in Sudan have reached 17 billion dollars.

Speaking at the joint meeting; the Minister of Oil and Gas, Mohamed Zayed Aw, said that Sudan exploited only small amounts of its oil reserves, and called on China to increase its investment in the oil sector.

On his part, the Minister of Water Resources, Irrigation and Electricity, Mutaz Musa, pointed out that the ministry is implementing 155 electricity projects with china at a cost of 10 billion dollars.

He said that his government will fund the $10 billion projects from multiple sources, adding that the five-year plan includes power plants and dams.

Source: sudantribune
 
Mh.

Naona hawa wakubwa wa dunia wameanza kupambana sana kujipenyeza Afrika.

Mrusi anataka kujenga kinu Tanzania, Mchina Sudani na Kenya, soon utasikia Mmarekani na South Afrika.
 
Mh.

Naona hawa wakubwa wa dunia wameanza kupambana sana kujipenyeza Afrika.

Mrusi anataka kujenga kinu Tanzania, Mchina Sudani na Kenya, soon utasikia Mmarekani na South Afrika.
Sudan awe makini sana .muda wowote kinaweza kubomolewa na waisrael
Shirika la Taifa la Nishati ya Nyuklia la China limekubaliana na Sudan kuhusu mpango wao wa kuijengea nchi hiyo Kinu cha kwanza cha Nyuklia katika mkataba uliosainiwa Jumatatu kati ya nchi hizo wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Utawala wa Nishati ya China, Nur Bekri.

Shirika hilo pia limesaini makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Rasilimali maji na umeme ya Sudan.

Hii ni miongoni mwa harakati za China kutafuta kukubalika zaidi kwa teknolojia yao ya kiatomiki na kuhamasisha dunia kutumia nishati hiyo safi. Mwenyekiti wa Shirika hilo Sun Qin alisema nchi hiyo inategemea kusafirisha kiasi cha Yuniti 30 za nyuklia zitakazozalishwa nchini kwao hadi kufika mwaka 2030.

China inaweza kutoa msaada wa kiteknolojia na kifedha ili kuendeleza miradi ya Nyuklia.

Shirika hilo lina mpango wa kujenga vinu vya Nyuklia katika nchi za Pakistan na Argentina na baadae nchini Kenya.

Sudan inatarajia kuanza kujenga kinu hicho cha kwanza cha nyuklia mwaka 2021 na kuanza kukiendesha kibiashara ifikapo 2027 ambapo inategemea kujenga vinu viwili vya megawati 600 kila kimoja ambavyo vitasaidia kufikia mahitaji yake ya megawati 8,500 ifikapo 2031.
 
Sudan awe makini sana .muda wowote kinaweza kubomolewa na waisrael

Vinu vya nuclear vya kuzalisha umene havina uwezo wa kuzalisha weapon grade plutonium.

Hivyo Israel haina sababu ya kushambulia nuclear power reactors - wakivishambulia basi huo utakuwa ni uonezi tu.
 
Hii ni hatari, sina uhakika kama tupo tayari kufika huko.
 
Mh.

Naona hawa wakubwa wa dunia wameanza kupambana sana kujipenyeza Afrika.

Mrusi anataka kujenga kinu Tanzania, Mchina Sudani na Kenya, soon utasikia Mmarekani na South Afrika.
***
TEKNOLOGIA YA URUSI KWA KULIPUKA ^_^
 
Sisi tunapo angaika kutumbuana majipu wenzetu wanajitahidi waishi maisha ya kisayansi.
Na wametoka kwenye vita juzi tu lakini cheki leo hii wenzetu waliko ni mbali sana.

Sisi hii ishu ya kutumbuana majipu tumechelewa sana ni sawa na kusema mtu uende ukatahiri wakati una miaka 50.
Hiyo lazima itakughalimu.
 
Hatari yake nini kwani umeambiwa hicho ni kinu cha kutengenezea weapons? Manyang'au bhana taabu kweli kweli

Kama nilivyosema hapo awali kwenye mada nyingine, Waswahili sio wakuachiwa kudumisha vinu vya nyuklia, hata kama ni za matumizi ya kawaida. Muda usio mrefu mtaanza zile hadithi zenu za ohh nilijisahau...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom