MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Wachina Watatumaliza Mwaka Huu
Source: Haki Ngowi's blog.
Mkaguzi wa Chakula wa Mamlaka ya Chakukula na Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Bahati Midenge akimwaga maziwa jijini Dar es Salaam jana wakati wa uteketezaji wa tani 34 za maziwa ya unga aina ya Golden Bell, kutoka China baada ya kugundulika kuwa na kemikali ya Melamine inayosababisha maradhi ya figo kwa watoto.
Source: Haki Ngowi's blog.
rfeit good zinazoingizwa na wachina nchini mwetu. Nimeshasikia nyingi tu zikiwemo simu, electronics e.t.c ambazo kwa uelewa wangu mdogo zinachangia katika kudumaza uchumi wetu. Lakini linapokuja suala la afya hasa kwa watoto wetu wachanga kama hili la maziwa ndipo ninaposhikwa na hasira sana. Najua kwa kweli taasis za kudhibiti ubora wa bidhaa nchini zimekuwa zikijitahidi sana.
Swali langu: Pamoja na ushahidi wa bidhaa hizi feki toka China, hatuwezi kuwafungia wasiingize bidhaa zao nchini mpaka watakapojirekebisha? Sheria zetu kuhusu import/export goods na people's protection zinasemaje juu ya hili?
Naomba mnisaidie
Naomba mnisaidie
Last edited: