Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Dubai makatibu wa wizara majority ni waingereza...sisi ni waTZ na ni wanasiasa
Maendeleo mara nyingi ni kama moto, lazima kuwepo na cheche na nyasi kavu. Naamini waTz ni nyasi kavu, hawajapata tu cheche..viongozi tulionao ni BOGUS , from 'Dr. Mkwere' mpaka huko chini, huhitaji kutumia durubini ya kutazamia nyota kuwaona. Sasa kama hawana maono sijui kwanini wanang'ang'ania vyeo, halafu eti mwingine anasema tusiwalaumu? Excuse u?
Kama hawataki kulaumiwa WAKAE PEMBENI EBO!!