Elections 2010 Chiligati yuko wapi?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Wakuu wana JF hivi Chiligati mbona yupo kimya sana au naye anapumulia mashine? milioko jimboni kwake tafadhari tupeni taarifa. Alisikika sana wakati wa kumuweka pembeni Bashe. Nadhani yeye ndiye katibu mwenezi wa ccm.
 
anapumulia mashine hali mbaya jimboni kimsingi hakubaliki kabisa huwa analazimisha kushinda kwa nguvu nguvu sana.
 
nilikuwa manyoni kwenye utafiti wangu,jamaa hapa hakubaliki kabisa ukitoa kijiji anachotoka cha kata ya chikuyu,alitumia pesa nyingi sana kwenye kura za maoni kufanya hujuma na ametangaza hatagombea tena,hali nya upinzani hapa ni ndogo sana kwani mwamko wa kisiasa hapa manyoni mashariki mdogo tokana na watu kupewa vitisho,na wapinzani kusimamisha wagombea dhaifu,kasheshe lipo manyoni magharibi,jimbo ni la chadema chini ya mgombea wao lupaa,watu hawtaki kusikia hiki chama kizee,hata rais alipokuja walizomea
 
Back
Top Bottom