Chiligati: Na hii imevuja tena kutoka CC ya CCM - Kampeni chafu dhidi ya Sioi Sumari

kwa wapambanaji wamekwisha elewa, Sioi ni mkwe wa Edo, sasa magamba makuu wanajiandaa kumvua Edo kwa kuhakikisha kuwa hawapandi mbegu za Edo ili wasipate usumbufu wa kuongeza kambi ya Edo bungeni, hili lipo wazi kabisa, sasa wacha tukae pembeni wapambane at the end of the day watapasuka na kutupa advantage cdm, hivyo basi na sisi cdm tuwe makini na kura za maoni leo, kwani tayari tuna advantage ya mpasuko wa hawa macameroon, wote watakuwa ni macameroon; mbona walikaa kimya siku zote leo wanajifanya kutoleana siri, wapeleke us....nge wao huko
 
Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao ulio kinyume na Sioi Sumari umemzushia kijana huyo propaganda chafu yenye kutia kinyaa. Habari zilizozagaa huko meru ni kuwa sioi hayuko sawa na amekuwa anafanya mchezo wa ajabu (watu wazima mtaelewa).

Kambi hiyo imeendeleza propaganda zaidi kwa kusema kuwa kitendo cha Sioi kuamua kugombea wakati hata marehemu baba yake hajatimiza 40 (tumbo halijapasuka) ni ishara kuwa kijana huyu amemfanyia kitu baba yake.

Yote haya yamekuwa yakirushwa ili kujenga mazingira ya sioi sumari apigwe chini na Sarakikya apitishwe. Habari ni kuwa sababu zilizotolewa za kumpiga chini Sioi zilikosa mashiko na hivyo CC ikaona irudishe kura za maoni tena na hapo sasa propaganda ya nguvu ipigwe ili kupunguza kura za sioi na kusaka kura zilizokuwa za Elishilia na Elirehema.

Sasa hii habari yako ina uhusiano gani na Chiligati?nimechangia tu...lkn nisingechangia utumbo huu,mada za namna hii ndio zinatukimbiza jf.
 
Ukitaka kujua wewe ni msafi ama mchafu kiasi gani basi jitokeze kugombea cheo cha kisiasa. Duh mbona jamaa wamemzushia zengwe baya kaisi hicho? Sisi wengine wa mrima ukiambiwa hivyo wala hujali kwa kuwa hakuna kitu kama hicho huko, sijui huko kwa Wameru.
 
Kweli siasa ni mchezo mchafu mno ukitaka mpaka siri zako ulizofanya utotoni ziwekwe wazi we ingia kwenye siasa.
Kama mzee wa kiraracha aka Lyato Mrere alivyokuwa na heshima akiwa waziri huezi amin ndo huyu sasa kila akipita hadi watoto wanamcheka,Mtatiro wa watu hadi jina bandia analotumia limejulikana,Nagu na masters na phd fake zote hadharani.

Wacha mi nikae pembeni kabisa isije julikana nilisha SUP mara ngap.
 
CCM inajiroga yenyewe safi sana...yetu macho, na mwenye macho ahambiwi Tazama
 
Kwani Camerun wake ni nani?

Inasemekana waliomuanzisha wako Marekani, lkn tangu aje kapata Mkunaji hapo Dar! Wazee wa Kimila wa Kimeru wamepata habari hizo, na wamemuangalia kwa jicho la kiutu uzima, wakagundua ni kweli, wamemnyima fimbo na blanketi ambayo ni ishara ya Ukuu wa Boma la babaake!
 
Inasemekana waliomuanzisha wako Marekani, lkn tangu aje kapata Mkunaji hapo Dar! Wazee wa Kimila wa Kimeru wamepata habari hizo, na wamemuangalia kwa jicho la kiutu uzima, wakagundua ni kweli, wamemnyima fimbo na blanketi ambayo ni ishara ya Ukuu wa Boma la babaake!

Wameru watakuwa watu wa ajabu sana kama watampa ubunge huyo boflo, ni chukizo kubwa mbele ya muumba ndiyo maana alipiga kibiriti miji ya Sodoma na Gomora.
 
CCM wana laana si bure! shauri zao, lakini kama si tamaa tu huyu kijana naye angetulia, anyway mtoto wa nyoka ni nyoka tu
 
mbona mnamsimanga mtoto wa marehemu jamani? Kwenye msiba wa babake mlikua mnajifanya mnalia ka mmekufa nyny baada ya maziko mnamgeuka mfiwa,hv nyny ccm mmerogwa?
 
zamani historia ya uongozi ilianzia mashuleni.. cku hizi wanakurupuka 2.. hujawahi hata kupewa ukiranja shuleni leo wataka kuwa kiongozi.. matokeo yake ndo haya.. gutter politics..
 
Tusiongee kama watu ambao hatuna akili . Namfaham jamaa vizuri hana hizo tabia kabisa . Kama ccm hawamtaki wamkatae kwa hoja sio kuleta maneno ya uzushi mkubwa kama huu .
 
Kama wanaCCM hawpendani,je serikali inayoundwa na chama hiki inaweza kuwapenda na kuwajali wananchi?
 
Back
Top Bottom