Chiligati, Mkuchika, Makala, Mo Dewji Mohamed Dewji, wanaweza kuingia katika sekretarieti moja ya CCM

FD aliyesema kuwa ni udaku yuko wapi?
Hapa ni kisima cha kujua mambo kabla hayajatokea,
Leo inawezekana JK kkatangaza baraza jipya la mawaziri , tusubiri.....
 
Habari ambazo haziwezi kuthibitishwa kwa haraka zinaeleza kwamba, kuna uwezekano mkubwa kwa wanasiasa hao wawili; Mwambi na Mwanri, kuingia katika Baraza la Mawaziri la Kikwete linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.

SOURCE:Tanzania Daima

haya tusubiri tuone hilo baraza la mawaziri,kuna mtu an idea nani anatoka nani anaingia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom